https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Maombolezo 3:31-33 Kwa kuwa Bwana hatamtupa mtuHata milele.Maana ajapomhuzunisha atamrehemu,Kwa kadiri ya wingi wa huruma zake.Maana moyo wake hapendi kuwatesa wanadamu.Wala kuwahuzunisha. Nimehimizwa moyoni sana kuandika… Read more “Jiandae kwa kipindi Cha Matumaini-Hii Ni Idhaa Ya Kiswahili Radio Fortune Africa.”
Tag: kigoma
Umri sahihi wa kupata jiko-Marriage Mathematics.
Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa BAO LA ASUBUI – NA CANTONA JOSEPH UMRI GANI UNAFAA KWA KIJANA KUOA? Umri mzuri wa kuoa au kuolewa ni pale utakapokuwa umekomaa… Read more “Umri sahihi wa kupata jiko-Marriage Mathematics.”
Gen Z mnikome!!!
Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph Gen Z wanadai Rais anawachezea shere baada ya kutangaza nusu ya baraza lake la mawaziri. Mnamo Ijumaa iliyopita, Rais Ruto… Read more “Gen Z mnikome!!!”
Mikakati Kukomeshwa ukatili wa watoto Nchini Kenya.
Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph KATIBU katika Wizara ya Leba na Ulinzi wa Jamii, Bw Joseph Motari amesema kuwa serikali inaendelea kuimarisha mikakati kukomesha ukatili… Read more “Mikakati Kukomeshwa ukatili wa watoto Nchini Kenya.”
Mke wa waziri mkuu wa Israeli aonya wakuu wa Jeshi kwa mpango wa mapinduzi.
Afrika Leo Asubui-Radio Fortune Africa Na Cantona Joseph Mke wa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amewashutumu maafisa wakuu wa jeshi kwa kujaribu kupanga mapinduzi dhidi ya… Read more “Mke wa waziri mkuu wa Israeli aonya wakuu wa Jeshi kwa mpango wa mapinduzi.”
Nguvu ya Gen Z? Vijana waandamanaji wakilazimisha mabadiliko ushuru Kenya.
Afrika Leo Mchana-Radio Fortune Africa . Na Cantona Joseph,Juni 21,2024. Vijana wa Kenya waliingia barabarani katika jiji kuu la Nairobi kupinga msururu wa ushuru mpya katika Muswada… Read more “Nguvu ya Gen Z? Vijana waandamanaji wakilazimisha mabadiliko ushuru Kenya.”
Mswada Nchini Kenya waleta kimbiakimbia miji tofauti.
Na Cantona Joseph:Juni 20,2024 Kenya: Maandamano dhidi ya muswada tata wa fedha yaendelea Waandamanaji mjini Nairobi wamesema wataelekea kwenye ukumbi wa Bunge la Taifa huku kukiwa na… Read more “Mswada Nchini Kenya waleta kimbiakimbia miji tofauti.”
Uchaguzi Afrika Kusini ANC yajiandaa kugawana madaraka
Chama tawala wa ANC kimepata asilimia 40 ya kura, tofauti na asilimia 57.5 katika uchaguzi wa mwaka 2019. Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amewahi kupinga wazo… Read more “Uchaguzi Afrika Kusini ANC yajiandaa kugawana madaraka”