Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Habari Zinapojiri -Ukweli Na Burudani Afrika Leo AlfajiriAfrika Leo MchanaAfrika Leo JioniAfrika Mwisho JumaKipenga Cha MichezoKipenga Cha AfrikaMakala MaalumAfya Na JamiiUkweli Na BurudaniKipindi… Read more “Afrika Leo Mchana-Jeshi la Polisi la Kenya lakomboa mji Gauthier Nchini Haiti.”
Tag: kigali
Je nani ameshikilia furaha yako.
Radio Fortune Africa -Bao la Asubui https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph Unakosa furaha katika maisha yako? Nani ameshikilia furaha yako… Moja ya kitu hatari sana kwenye maisha yako… Read more “Je nani ameshikilia furaha yako.”
Vijana wa Uhispania wapata sifa huku kipute cha Euro kinapoendelea Nchini Ujerumani.
Afrika Wikendi-Radio Fortune Africa. Na Cantona Joseph, Juni 22,2024 KOCHA Luis de la Fuente amemiminia sifa vijana wake wa Uhispania baada ya kufanya mabingwa watetezi Italia waonekana… Read more “Vijana wa Uhispania wapata sifa huku kipute cha Euro kinapoendelea Nchini Ujerumani.”
Nguvu ya Gen Z? Vijana waandamanaji wakilazimisha mabadiliko ushuru Kenya.
Afrika Leo Mchana-Radio Fortune Africa . Na Cantona Joseph,Juni 21,2024. Vijana wa Kenya waliingia barabarani katika jiji kuu la Nairobi kupinga msururu wa ushuru mpya katika Muswada… Read more “Nguvu ya Gen Z? Vijana waandamanaji wakilazimisha mabadiliko ushuru Kenya.”
Mswada Nchini Kenya waleta kimbiakimbia miji tofauti.
Na Cantona Joseph:Juni 20,2024 Kenya: Maandamano dhidi ya muswada tata wa fedha yaendelea Waandamanaji mjini Nairobi wamesema wataelekea kwenye ukumbi wa Bunge la Taifa huku kukiwa na… Read more “Mswada Nchini Kenya waleta kimbiakimbia miji tofauti.”
Mabadiliko zaidi katika mswada wa fedha Nchini Kenya wasititizwa.
Na Cantona Joseph:Juni 20,2024 WITO wa kudumisha shinikizo za kisiasa ili mabadiliko zaidi yafanyiwe Mswada wa Fedha wa 2024 ni miongoni mwa sababu zilizofanya upinzani kukataa kuidhinisha… Read more “Mabadiliko zaidi katika mswada wa fedha Nchini Kenya wasititizwa.”
Mji wazima Tanariver Nchini Jua linapotua.
Picha:Radio Fortune Africa MJI wa Madogo, ambao ni wa pekee katika Kaunti ya Tana River ambapo biashara zimekuwa zikiendelezwa kwa muda wa saa 24, sasa huzima pindi… Read more “Mji wazima Tanariver Nchini Jua linapotua.”