Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: kenya

 AFRIKA LEO JIONI-17-12-2024

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Karibu katika Matangazo yetu ya jioni moja kwa moja kutoka Communication Center. Tumekuandalia mengi ikiwa ni pamoja Muhtasari Naam,Natumai U… Read more ” AFRIKA LEO JIONI-17-12-2024″

December 17, 2024 by CantonaDigital

Chuma Hunoa Chuma-17-12-2024

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Fundi mmoja alipewa na tajiri kazi ya kupaka mtumbwi rangi.Wakati anapaka rangi akagundua kuwa kwenye ule mtumbwi kuna sehemu ndogo… Read more “Chuma Hunoa Chuma-17-12-2024”

December 17, 2024December 17, 2024 by CantonaDigital

Jamhuri 2024: Kindiki amsifia Ruto kwa kusaka Raila na Kenyatta

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Naibu Rais Kithure Kindiki. Picha|Maktaba NAIBU Rais Kithure Kindiki amemmiminia sifa bosi wake, Rais William Ruto akimtaja kama kiongozi “anayethamini… Read more “Jamhuri 2024: Kindiki amsifia Ruto kwa kusaka Raila na Kenyatta”

December 13, 2024 by CantonaDigital

Uganda: Kizza Besigye kuendelea kuzuiliwa katika gereza la Luzira hadi Januari 7, 2025

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kesi ya madai ya kupatikana akiwa na silaha, akiwa jijini Nairobi, nchini Kenya, inayomkabili kiongozi mkongwe wa upinzani nchini Uganda… Read more “Uganda: Kizza Besigye kuendelea kuzuiliwa katika gereza la Luzira hadi Januari 7, 2025”

December 11, 2024 by CantonaDigital

DRC: Mapigano mapya yaripotiwa katika mkoa wa Kivu Kaskazini

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Mapigano mapya yameripotiwa katika Mkoa wa Kivu Kaskazini, kati ya wanajeshi wa serikali na waasi.… Read more “DRC: Mapigano mapya yaripotiwa katika mkoa wa Kivu Kaskazini”

December 10, 2024 by CantonaDigital

Kenya: Kilichojiri katika mkutano kati ya rais Ruto na Uhuru

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais William Ruto ametembelea mtangulizi wake Uhuru Kenyatta nyumbani kwa familia yake huko Gatundu, ikiwa ni maongezi ya kwanza ya… Read more “Kenya: Kilichojiri katika mkutano kati ya rais Ruto na Uhuru”

December 10, 2024 by CantonaDigital

NGUVU YA MANENO MAISHANI.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa 1. ACHA KUJITAMKIA MANENO MABAYA. Maneno ni mbegu, Kila unachojitamkia unakipa uhai, na ipo siku utavuna matunda yake. Jitamkie maneno… Read more “NGUVU YA MANENO MAISHANI.”

December 9, 2024 by CantonaDigital

Sudan Kusini: Mazungumzo ya amani yarejelewa tena jijini Nairobi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Baada ya miezi minne na kufutwa kazi kwa ujumbe wa serikali, mazungumzo ya amani ya Sudan Kusini yaliyokwama yameanza tena… Read more “Sudan Kusini: Mazungumzo ya amani yarejelewa tena jijini Nairobi”

December 5, 2024 by CantonaDigital

EACC inachunguza ufisadi wa Sh2 bilioni katika kaunti sita za Bonde la Ufa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Makao makuu ya Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC). PICHA| HISANI TUME ya Maadili na Kukabili Ufisadi (EACC)… Read more “EACC inachunguza ufisadi wa Sh2 bilioni katika kaunti sita za Bonde la Ufa”

December 2, 2024 by CantonaDigital

Somalia/Ethiopia: Kenya na Uganda kupatanisha mzozo wa Ethiopia na Somalia

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Kenya William Ruto amesema siku ya Jumamosi yeye na Rais wa Uganda Yoweri Museveni watasaidia kupatanisha Ethiopia na… Read more “Somalia/Ethiopia: Kenya na Uganda kupatanisha mzozo wa Ethiopia na Somalia”

December 2, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...