Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: kenya

Mzozo Mashariki mwa DRC: M23 wateka eneo la kimkakati katika eneo la Masisi.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wakati mapigano kati ya jeshi la Kongo, likiungwa mkono na makundi ya ndani yenye silaha yanayoitwa wazalendo, na M23, wanaoungwa… Read more “Mzozo Mashariki mwa DRC: M23 wateka eneo la kimkakati katika eneo la Masisi.”

January 4, 2025 by CantonaDigital

Ghana inakuwa nchi ya tano barani Afrika kutohitaji visa kutoka kwa raia wa bara la Afrika

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Ghana, tangu Januari 1, hakuna raia wa bara la Afrika anayepaswa kuwasilisha visa baada ya kuwasili. Kwa hiyo nchi… Read more “Ghana inakuwa nchi ya tano barani Afrika kutohitaji visa kutoka kwa raia wa bara la Afrika”

January 2, 2025 by CantonaDigital

ECOWAS na Nigeria zakanusha shutuma za kuhatarisha usalama wa Niger

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) siku ya Ijumaa, Desemba 27, imeitetea Nigeria, ambayo inashutumiwa na nchi… Read more “ECOWAS na Nigeria zakanusha shutuma za kuhatarisha usalama wa Niger”

December 28, 2024 by CantonaDigital

Ruto: Mnaposherekea kuweni na uangalifu msimu wa Krismasi.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais William Ruto ambaye amekuwa akitoa hakikisho kwamba madeni yamedhibitiwa.  RAIS William Ruto wa Kenya amewataka Wakenya kusherehekea Krismasi 2024… Read more “Ruto: Mnaposherekea kuweni na uangalifu msimu wa Krismasi.”

December 25, 2024 by CantonaDigital

Uteuzi wa Rais Ruto wa Kenya waondolea magavana saba ushindani 2027

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais William Ruto akizungumza kwa simu. Picha|Maktaba HATUA ya Rais William Ruto kuwateua baadhi ya wandani wa Rais mstaafu Uhuru… Read more “Uteuzi wa Rais Ruto wa Kenya waondolea magavana saba ushindani 2027”

December 24, 2024 by CantonaDigital

Baada ya kusukuma chanjo ya Covid-19, Kagwe arejeshwa kuvumisha chanjo ya mifugo.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Aliyekuwa Waziri wa Afya Mutahi Kagwe ambaye ameteuliwa Waziri mpya wa Kilimo na Maendeleo ya Mifugo. Picha|Maktaba ALIYEKUWA Waziri wa… Read more “Baada ya kusukuma chanjo ya Covid-19, Kagwe arejeshwa kuvumisha chanjo ya mifugo.”

December 20, 2024 by CantonaDigital

“ALIFELI ZAIDI YA MARA TANO” USIKUBALI NDOTO YAKO IFE…..

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa .Pichani ni Rais wa zambia “Hakainde Hichilema”aliyembwaga Rais wa zamani Edgar Lungu katika uchaguzi uliyofanyika Nchini Zambia.Safari yake haikuwa rahisi,Alijaribu… Read more ““ALIFELI ZAIDI YA MARA TANO” USIKUBALI NDOTO YAKO IFE…..”

December 18, 2024 by CantonaDigital

Uganda: Waathiriwa wa aliyekuwa kiongozi wa waaasi wa LRA kulipwa fidia

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mahakama maalum imeagiza serikali ya Uganda kulipa hadi euro 2,400 kwa kila mtu kwa waathiriwa wa Thomas Kwoyelo, mmoja wa… Read more “Uganda: Waathiriwa wa aliyekuwa kiongozi wa waaasi wa LRA kulipwa fidia”

December 18, 2024 by CantonaDigital

 AFRIKA LEO JIONI-17-12-2024

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Karibu katika Matangazo yetu ya jioni moja kwa moja kutoka Communication Center. Tumekuandalia mengi ikiwa ni pamoja Muhtasari Naam,Natumai U… Read more ” AFRIKA LEO JIONI-17-12-2024″

December 17, 2024 by CantonaDigital

Chuma Hunoa Chuma-17-12-2024

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Fundi mmoja alipewa na tajiri kazi ya kupaka mtumbwi rangi.Wakati anapaka rangi akagundua kuwa kwenye ule mtumbwi kuna sehemu ndogo… Read more “Chuma Hunoa Chuma-17-12-2024”

December 17, 2024December 17, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...