Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: kenya

Rais Ruto sasa asifu Ford Foundation aliyoiponda majuzi kwa kufadhili maandamano

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa RAIS William Ruto Jumanne Septemba 24, 2024 alikutana na Rais wa Wakfu wa Ford Foundation Darren Walker katika kile kinachoonekana… Read more “Rais Ruto sasa asifu Ford Foundation aliyoiponda majuzi kwa kufadhili maandamano”

September 24, 2024 by CantonaDigital

Kenya: Mafuta ya kupika yasiokidhi viwango yazua wasiwasi jijini Mombasa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Kenya wiki iliyopita, Shirika la kukadiria ubora wa bidhaa (KEBS), lilibainisha kuwa mafuta ya kula yasiyokidhi viwango, yaliingizwa nchini… Read more “Kenya: Mafuta ya kupika yasiokidhi viwango yazua wasiwasi jijini Mombasa”

September 23, 2024 by CantonaDigital

Gachagua ashambulia wanaopanga njama ya kumfurusha mamlakani

Naibu wa Rais, Bw Rigathi Gachagua. PICHA\HISANI NAIBU RAIS Rigathi Gachagua amewaonya wanasiasa wanaopanga kuwasilisha hoja ya kumtimua afisini kwamba hatishiki. Akiongea Ijumaa, Septemba 20, 2024 alipowatembelea wafanyabiashara… Read more “Gachagua ashambulia wanaopanga njama ya kumfurusha mamlakani”

September 23, 2024 by CantonaDigital

Si rahisi kwa Gachagua wazee wa Njuri Ncheke wakimtema

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa WAZEE wa Njuri Ncheke wamemuonyesha mgongo Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa kumuunga mkono  Waziri wa Usalama Kithure Kindiki kama kiongozi… Read more “Si rahisi kwa Gachagua wazee wa Njuri Ncheke wakimtema”

September 20, 2024 by CantonaDigital

Rais Azali wa Comoro ajeruhiwa baada ya kushambuliwa kwa kisu

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Azali Assoumani ahutubia kikao cha 78 cha kila mwaka cha Baraza Kuu wa Umoja wa Mataifa. Rais Azali Assoumani wa… Read more “Rais Azali wa Comoro ajeruhiwa baada ya kushambuliwa kwa kisu”

September 13, 2024 by CantonaDigital

Usichukue sifa za watu wengine.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kwenye maisha utakutana na watu ambao huwa wanapenda KUCHUKUA SIFA za watu wengine. Yaani, wao hawafanyi, ila wanataka sifa zote… Read more “Usichukue sifa za watu wengine.”

September 13, 2024 by CantonaDigital

Kenya: Mkuu wa Polisi akosa kufika mahakamani kwa mara ya 6

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kaimu inspekta jenerali wa polisi Gilbert Masengeli alitakiwa kuelezea mahakama kuhusu madai ya kutekwa nyara kwa ndugu wawili na mwanaharakati… Read more “Kenya: Mkuu wa Polisi akosa kufika mahakamani kwa mara ya 6”

September 10, 2024 by CantonaDigital

Marriage Mathematics-NdoaNdoano

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa KWA WANAUME… 1.Watafute marafiki wanaume watakao kukosoa wakati unapochukua mkondo usio mzuri,sio wale wanaume ambao watakuona ukiteleza maishani na wasalia… Read more “Marriage Mathematics-NdoaNdoano”

August 11, 2024August 11, 2024 by CantonaDigital

Paul Kagame aapishwaRais William RutoRuto Asafiri kwenda Rwanda

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa RAIS William Ruto ameondoka nchini kuelekea Rwanda katika ziara yake ya kwanza nje ya Kenya tangu vijana wa Gen Z… Read more “Paul Kagame aapishwaRais William RutoRuto Asafiri kwenda Rwanda”

August 11, 2024 by CantonaDigital

Kenya yazoa medali 11,huku Tanzania ikiambulia patupu mashindano ya Olimpiki.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa JAMHURI ya Muungano wa Tanzania imeambulia patupu na haikuonekana kwenye orodha ya medali katika Mashindano ya Olimpiki Mjini Paris Ufaransa… Read more “Kenya yazoa medali 11,huku Tanzania ikiambulia patupu mashindano ya Olimpiki.”

August 11, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...