Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa BAO LA ASUBUI – NA CANTONA JOSEPH UMRI GANI UNAFAA KWA KIJANA KUOA? Umri mzuri wa kuoa au kuolewa ni pale utakapokuwa umekomaa… Read more “Umri sahihi wa kupata jiko-Marriage Mathematics.”
Tag: kagera
Shinikizo zaidi kutoka kwa Wana rika wa Gen z Nchini Kenya.
Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Afrika Leo Mchana-Radio Fortune Africa KUVUNJA baraza la mawaziri bado hakujaridhisha Gen Z na itabidi Rais William Ruto atakeleze mabadiliko katika idara ya… Read more “Shinikizo zaidi kutoka kwa Wana rika wa Gen z Nchini Kenya.”
Mheshimiwa Musalia Mudavadi asazwa,Rais Ruto wa Kenya akiwafukuza kazi mawaziri-Radio Fortune Africa.
Na Cantona Joseph AfrikaLeoJioni RAIS William Ruto alimsaza Mkuu wa Mawaziri na Waziri wa Mashauri ya Kigeni Musalia Mudavadi kutokana na sababu za kisiasa wala sio hadhi… Read more “Mheshimiwa Musalia Mudavadi asazwa,Rais Ruto wa Kenya akiwafukuza kazi mawaziri-Radio Fortune Africa.”
Radio Fortune Africa-Umoja Mataifa.
Na Cantona Joseph Ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya congo utasitisha uondoaji wake, bila ratiba iliyowekwa kwa awamu inayofuata baada… Read more “Radio Fortune Africa-Umoja Mataifa.”
Tabia zitakazokupotezea hela-Radio Fortune Africa
Kuna tabia ukiwa nazo zitakufanya upoteze hela nyingi sana… Kila siku kuna watu wanajiuliza mbina mimi nikipata pesa hazikai. Ukipata pesa kidogo zinapotea. kuna watu wengine wanaaami… Read more “Tabia zitakazokupotezea hela-Radio Fortune Africa”
Radio Fortune Africa -Bao la Asubui.
Na Cantona Joseph HUENDA Kenya ikanyimwa mikopo baada ya kushushwa hadhi kwenye viwango vya Shirika la Kimataifa la kutathmini Madeni ya Mataifa na Utoaji Mikopo, Moody’s. Ripoti… Read more “Radio Fortune Africa -Bao la Asubui.”
Mke wa waziri mkuu wa Israeli aonya wakuu wa Jeshi kwa mpango wa mapinduzi.
Afrika Leo Asubui-Radio Fortune Africa Na Cantona Joseph Mke wa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amewashutumu maafisa wakuu wa jeshi kwa kujaribu kupanga mapinduzi dhidi ya… Read more “Mke wa waziri mkuu wa Israeli aonya wakuu wa Jeshi kwa mpango wa mapinduzi.”
Raila Odinga asikitishwa na visa vya mauaji vijana wandaamanaji na polisi.
Afrika Leo Jioni-Radio Fortune Africa Na Cantona Joseph KINARA wa Azimio la Umoja, Bw Raila Odinga ameelezea kusikitishwa kwake na visa vya mauaji ya vijana yanayotajwa kutekelezwa… Read more “Raila Odinga asikitishwa na visa vya mauaji vijana wandaamanaji na polisi.”
Vijana wa Uhispania wapata sifa huku kipute cha Euro kinapoendelea Nchini Ujerumani.
Afrika Wikendi-Radio Fortune Africa. Na Cantona Joseph, Juni 22,2024 KOCHA Luis de la Fuente amemiminia sifa vijana wake wa Uhispania baada ya kufanya mabingwa watetezi Italia waonekana… Read more “Vijana wa Uhispania wapata sifa huku kipute cha Euro kinapoendelea Nchini Ujerumani.”
Nguvu ya Gen Z? Vijana waandamanaji wakilazimisha mabadiliko ushuru Kenya.
Afrika Leo Mchana-Radio Fortune Africa . Na Cantona Joseph,Juni 21,2024. Vijana wa Kenya waliingia barabarani katika jiji kuu la Nairobi kupinga msururu wa ushuru mpya katika Muswada… Read more “Nguvu ya Gen Z? Vijana waandamanaji wakilazimisha mabadiliko ushuru Kenya.”