Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wizara ya afya ya Lebanon ilisema shambulizi la Israel Jumatatu lilimuuwa mtu mmoja kusini mwa Lebanon, huku jeshi la Lebanon… Read more “Wizara ya afya ya Lebanon yasema shambulizi la Israel lauwa mtu mmoja kusini mwa Lebanon”
Tag: hezbollah
Naim Qassem ateuliwa kuongoza Hezbollah baada ya kifo cha Nasrallah
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wapiganaji wa Hezbollah wa nchini Lebanon wamemteua naibu kiongozi wao Naim Qassem kuchukua nafasi ya Hasan Nasrallah aliyeuwa katika shambulio… Read more “Naim Qassem ateuliwa kuongoza Hezbollah baada ya kifo cha Nasrallah”
Lebanon: Mamia ya raia watoroka mji wa Beirut kutokana na mashambulio ya Israeli
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mamia ya wakazi kwenye mji wa Beirut nchini Lebanon, wamelazimika kukimbia maeneo yao baada ya mfululizo wa mashambulio ya Israel,… Read more “Lebanon: Mamia ya raia watoroka mji wa Beirut kutokana na mashambulio ya Israeli”
Israeli: Hezbollah yalenga makaazi ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Israeli imesema ndege isiyokuwa na rubani ililenga makaazi ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu mjini Caesarea baada ya wapiganaji wa Hezbollah… Read more “Israeli: Hezbollah yalenga makaazi ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu”
Hezbollah yarusha roketi kuelekea mji wa Haifa kaskazini mwa Israeli
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wapiganaji wa Hezbollah wamesema wamerusha roketi kuelekea kaskazini mwa Israeli, ikiwemo kambi ya jeshi karibu na mji wa Haifa hatua… Read more “Hezbollah yarusha roketi kuelekea mji wa Haifa kaskazini mwa Israeli”
UN yataka kusitishwa kwa mapigano katika Ukanda wa Gaza na nchini Lebanon
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Umoja wa Mataifa umesisitizia wito wa kusitishwa kwa mapigano nchini Lebanon na katika Ukanda wa Gaza kama njia moja ya… Read more “UN yataka kusitishwa kwa mapigano katika Ukanda wa Gaza na nchini Lebanon”
Vifo kutokana na shambulizi la Israel kwenye makazi ya Gaza vyafikia 22
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Vita vya mwaka mzima vya Tel Aviv dhidi ya Gaza vimesababisha vifo vya Wapalestina 42,227 huku mashambulizi ya Israel kote… Read more “Vifo kutokana na shambulizi la Israel kwenye makazi ya Gaza vyafikia 22”
Vita katika Mashariki ya Kati: Washington yaionya Israeli dhidi ya mashambulizi yake Lebanoni
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jeshi la Israel linaendelea na mashambulizi yake makali ya mabomu katika viunga vya kusini mwa Beirut, na pia kusini mwa… Read more “Vita katika Mashariki ya Kati: Washington yaionya Israeli dhidi ya mashambulizi yake Lebanoni”
Afrika Leo Alfajiri-03 Oktoba 2024
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://radioslist.com/online/ke/fortuneafrica.html#infomore Wanajeshi wanane wa Israel wauawa katika mapigano na Hezbollah ndani ya Lebanon – IDF Pande zote mbili zimeripoti kukabiliana ndani… Read more “Afrika Leo Alfajiri-03 Oktoba 2024”
Mjisajili ili muokolewe, serikali yaambia Wakenya wanaotoroka vita Lebanon
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://liveonlineradio.net/radio-fortune-africa Makazi yakichomeka chini Lebanon kufuatia mashambulizi ya Israel ambayo inawinda wanamgambo wa Hezbollah. Picha|Reuters HUKU hali ya usalama ikiendelea kudorora… Read more “Mjisajili ili muokolewe, serikali yaambia Wakenya wanaotoroka vita Lebanon”