Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa 31 Oktoba 2022 Boga ni nini? Pumpkins ni miongoni mwa vyakula vilivyopo katika kundi la mimea ya Cucurbitaceae au familia… Read more “Afya: Zifahamu faida kuu 5 za boga “
Tag: health
Dunia yakaribisha mwaka 2025 kwa shangwe, hofu na matumaini
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Dunia imeukaribisha mpya wa mwaka 2025 kwa furaha, kwa maombi na kwa maonyesho ya kuvutia ya fataki. New Zealand na… Read more “Dunia yakaribisha mwaka 2025 kwa shangwe, hofu na matumaini”
Congo-B: Mgomo uliodumu kwa miezi mitatu wasitishwa katika chuo kikuu cha umma
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wahadhiri na wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Marien Ngouabi mjini Brazzaville wanarejea shuleni leo Jumatatu, Desemba 30. Kufuatia maendeleo ya… Read more “Congo-B: Mgomo uliodumu kwa miezi mitatu wasitishwa katika chuo kikuu cha umma”
Msumbiji: Wafungwa 1,500 watoroka jela katikati ya ghasia za baada ya uchaguzi
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Msumbiji, serikali imethibitisha, jioni ya Desemba 25, kutoroka kwa wafungwa wengi kutoka gereza lenye ulinzi mkali karibu na Maputo.… Read more “Msumbiji: Wafungwa 1,500 watoroka jela katikati ya ghasia za baada ya uchaguzi”
AFRIKA LEO JIONI-23-12-2024
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Karibu katika Matangazo yetu ya jioni moja kwa moja kutoka Communication Center. Tumekuandalia mengi ikiwa ni pamoja Muhtasari Naam,Natumai U… Read more ” AFRIKA LEO JIONI-23-12-2024″
Ufanye nini Malengo iwapo hayajatimia.
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Malengo yangu hayajatimia mwaka huu licha ya kutumia Nguvu, muda na rasilimali nyingi. Je, niyachane chane nitupe kwenye “Dustbin” mwakani… Read more “Ufanye nini Malengo iwapo hayajatimia.”
Afrika: CDC inahitaji hakikisho kutoka kwa Trump kuhusiana na chanjo
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kituo cha udhibiti wa magonjwa barani Afrika, CDC, kimesema kinatafuta hakikisho toka kwa utawala wa Rais mteule wa Marekani Donald… Read more “Afrika: CDC inahitaji hakikisho kutoka kwa Trump kuhusiana na chanjo”
Afrika: Mataifa yalioathirika na Mpox yatengewa dozi laki 8 za chanjo
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Dozi zaidi ya laki 8 za awali za chanjo zimetengwa kwa ajili ya nchi 9 barani Afrika ambazo zimeathiriwa pakubwa… Read more “Afrika: Mataifa yalioathirika na Mpox yatengewa dozi laki 8 za chanjo”
Njia telezi ya Gachagua kortini akitafuta nyota yake
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua. KILA njia ya kisheria aliyopitia aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kujiokoa asing’atuliwe mamlakani iliteleza. Sasa… Read more “Njia telezi ya Gachagua kortini akitafuta nyota yake”
Afya: Kisa cha kwanza cha lahaja mpya ya Mpox chagunduliwa nchini Uingereza
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Shirika la Usalama wa Afya la Uingereza limetangaza siku ya Jumatano Oktoba 30 kwamba limegundua kisa cha kwanza cha maambukizo… Read more “Afya: Kisa cha kwanza cha lahaja mpya ya Mpox chagunduliwa nchini Uingereza”