Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: education

Trump asema ‘hatamruhusu’ Netanyahu kuuchukua Ukingo wa Magharibi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Marekani amesema hayo kabla ya hotuba ya Waziri Mkuu wa Israel katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.… Read more “Trump asema ‘hatamruhusu’ Netanyahu kuuchukua Ukingo wa Magharibi”

September 26, 2025 by CantonaDigital

Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wakwama huku Israel ikifunga vivuko vya kimataifa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Israel imefunga kivuko pekee kati ya Ukingo wa Magharibi unaokaliwa na Israel na nchi jirani ya Jordan, na kuwazuia zaidi… Read more “Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wakwama huku Israel ikifunga vivuko vya kimataifa”

September 25, 2025 by CantonaDigital

Muungano wa Ulaya wapanga kusitisha ulinzi wa muda kwa Waukraine waliokimbia vita

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Baraza la Muungano wa Ulaya EU limeidhinisha mapendekezo rasmi kwa nchi wanachama juu ya jinsi ya kumaliza ulinzi wa muda… Read more “Muungano wa Ulaya wapanga kusitisha ulinzi wa muda kwa Waukraine waliokimbia vita”

September 25, 2025 by CantonaDigital

Rais Chakwera akubali kushindwa uchaguzi Malawi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais Chakwera amekubali kushindwa, na kuliambia taifa la Malawi kuwa anafanya hivyo kwa kuheshimu nia yao ya kutaka mabadiliko ya… Read more “Rais Chakwera akubali kushindwa uchaguzi Malawi”

September 24, 2025 by CantonaDigital

Trump asema Ukraine inaweza kuyakomboa maeneo yake yote yaliyotekwa na Urusi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Marekani anasema Ukraine inaweza kukoyamboa maeneo yake yote yanayodhibitiwa na Urusi kwa kuunga mkono na Nato na Ulaya,… Read more “Trump asema Ukraine inaweza kuyakomboa maeneo yake yote yaliyotekwa na Urusi”

September 24, 2025 by CantonaDigital

Wafanyakazi wa uwanja wa ndege Kenya watishia kugoma

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Chama cha Wafanyakazi wa Usafiri wa Anga nchini Kenya (KAWU), leo kimetoa notisi ya siku saba kabla ya kufanya mgomo,… Read more “Wafanyakazi wa uwanja wa ndege Kenya watishia kugoma”

September 23, 2025 by CantonaDigital

ICC inamshtaki Rodrigo Duterte kwa uhalifu dhidi ya binadamu

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa zamani wa Ufilipino Rodrigo Duterte ameshtakiwa kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC).… Read more “ICC inamshtaki Rodrigo Duterte kwa uhalifu dhidi ya binadamu”

September 23, 2025 by CantonaDigital

Jeshi la Ukraine lazima shambulio la usiku la ndege zisizo na rubani 150 za Urusi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Moto ulizuka katika jengo la ghorofa kubwa huko Boryspil, karibu na Kyiv, na kuharibu magari na nyumba za watu binafsi,… Read more “Jeshi la Ukraine lazima shambulio la usiku la ndege zisizo na rubani 150 za Urusi”

September 22, 2025 by CantonaDigital

MAMBO 10 HATARI YANAYOWEZA KUANGUSHA BIASHARA YAKO.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wafanyabiashara wengi hawafi kwa sababu ya kukosa wateja, bali kwa sababu ya makosa ya msingi ambayo hayarekebishwi mapema. Kwa uhalisia… Read more “MAMBO 10 HATARI YANAYOWEZA KUANGUSHA BIASHARA YAKO.”

September 22, 2025 by CantonaDigital

Trump aongeza ada ya $100,000 kwa waomba viza wenye ujuzi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini agizo la rais ambalo litaongeza ada ya kila mwaka ya $100,000 (£74,000) kwa… Read more “Trump aongeza ada ya $100,000 kwa waomba viza wenye ujuzi”

September 20, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...