Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: education

Jina la mshambuliaji wa sinagogi la Manchester latangazwa, tukio lililoelezwa kuwa “ugaidi”

Radio Fortune Africa -Ukweli na Burudani https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na:Cantona Joseph|RFA Polisi wa Uingereza wametangaza kuwa wamemtambua mhusika wa shambulio hilo lililotoka Alhamisi asubuhi ndani ya sinagogi katika eneo… Read more “Jina la mshambuliaji wa sinagogi la Manchester latangazwa, tukio lililoelezwa kuwa “ugaidi””

October 3, 2025 by CantonaDigital

Marekani yatuma pesa kwa Lebanon wakati ikielekea kuipokonya silaha Hezbollah – duru

Radio Fortune Africa -Ukweli na Burudani https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na:Cantona Joseph|RFA Wasaidizi wa chama cha Democratic Marekani walisema fedha hizo zilitolewa kabla tu ya mwaka wa fedha wa Washington… Read more “Marekani yatuma pesa kwa Lebanon wakati ikielekea kuipokonya silaha Hezbollah – duru”

October 3, 2025 by CantonaDigital

Kiongozi wa jeshi la Hamas huko Gaza apinga mpango wa kusitisha mapigano

Radio Fortune Africa -Ukweli na Burudani https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Izz al-Din al-Haddad anafikiriwa kuamini kuwa mpango huo uliundwa ili kuimaliza Hamas, iwe kundi hilo litakubali au la, na hivyo… Read more “Kiongozi wa jeshi la Hamas huko Gaza apinga mpango wa kusitisha mapigano”

October 2, 2025 by CantonaDigital

NATAMANI KUUZA HARAKA SOKONI?

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Tumia Mbinu Hizi 5 Kuharakisha Mauzo Yako. Katika ushindani mkubwa kwa sasa katika soko, ni muhimu sana kuwa na mbinu… Read more “NATAMANI KUUZA HARAKA SOKONI?”

October 2, 2025October 2, 2025 by CantonaDigital

Ikulu ya Marekani inasema inawaachisha kazi wafanyakazi huku shughuli za serikali zikiendelea kusitishwa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Ikulu ya Marekani inasema itaanza kuwaachisha kazi wafanyikazi wengi wa serikali ndani ya siku mbili, huku wabunge wakilaumiwa kwa kusitisha… Read more “Ikulu ya Marekani inasema inawaachisha kazi wafanyakazi huku shughuli za serikali zikiendelea kusitishwa”

October 2, 2025 by CantonaDigital

Wanawake wanazidi kunyanyaswa kwenye mitandao.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa NAIROBI –  Kadri matumizi ya mitandao yanavyoongezeka barani Afrika, wanawake na wasichana wanazidi kuripoti ukatili kutokana na matumizi hayo ya mitandao.… Read more “Wanawake wanazidi kunyanyaswa kwenye mitandao.”

October 2, 2025 by CantonaDigital

Maelfu ya wafanyakazi wa umma mashakani baada ya Marekani kufunga shughuli zake rasmi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kuwafuta kazi wafanyakazi ambao ”sio muhimu” Maseneta wa Marekani wameshindwa kupitisha mswada wa dakika… Read more “Maelfu ya wafanyakazi wa umma mashakani baada ya Marekani kufunga shughuli zake rasmi”

October 1, 2025 by CantonaDigital

Maandamano ya vijana Morocco yaingia siku ya nne na kugeuka kuwa ghasia

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Maandamano yaliyoongozwa na vijana kudai elimu bora na huduma za afya nchini Morocco yaliongezeka na kuwa makabiliano makali na vikosi… Read more “Maandamano ya vijana Morocco yaingia siku ya nne na kugeuka kuwa ghasia”

October 1, 2025 by CantonaDigital

Watu 38 wahofiwa kukwama katika jengo lililoporomoka

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Waokoaji huko Java Mashariki, Indonesia wanakimbizana na muda ili kuwapata watu 38 wanaoaminika kuwa wamenasa kwenye vifusi vya jengo la… Read more “Watu 38 wahofiwa kukwama katika jengo lililoporomoka”

October 1, 2025 by CantonaDigital

JE WEWE NI MFANYAKAZI? ZINGATIA MAMBO HAYA 10 ILI KUWA HURU KIUCHUMI.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Watumishi wengi wanapitia changamoto za kifedha, na wengi wao wamekosa mwongozo sahihi. Tumia mbinu hizi ili kutoka kwenye matatizo ya… Read more “JE WEWE NI MFANYAKAZI? ZINGATIA MAMBO HAYA 10 ILI KUWA HURU KIUCHUMI.”

October 1, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...