Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mapigano yameripotiwa tena kuanzia leo asubuhi, Kusini mwa Wilaya ya Lubero katika mkoa wa Kivu Kaskazini, Mashariki mwa DRC kati… Read more “Mashariki mwa DRC: Mapigano yarindima kusini mwa wilaya ya Lubero”
Tag: drc
DR Congo: Raia waandamana mjini Bukavu kutokana na ukosefu wa usalama Mashariki mwa nchi
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini DRC, asasi za kiraia zimefanya maandamano hapo jana siku ya Jumatano mjini Bukavu kupinga vita vinavyoendelea mashariki mwa nchi… Read more “DR Congo: Raia waandamana mjini Bukavu kutokana na ukosefu wa usalama Mashariki mwa nchi”
Jeshi la Congo lachukua udhibiti wa sehemu za mji wa Masisi kutoka M23
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (FARDC) na washirika wake, wanamgambo Wazalendo, jana waliteka tena sehemu za mji wa… Read more “Jeshi la Congo lachukua udhibiti wa sehemu za mji wa Masisi kutoka M23”
Marekani inalaani hatua ya M23 ya kuteka baadhi ya maeneo mashariki mwa DRC
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Marekani imelaani ukiukaji mkubwa wa usitishaji vita mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kundi lenye silaha la M23,… Read more “Marekani inalaani hatua ya M23 ya kuteka baadhi ya maeneo mashariki mwa DRC”
DRC: Jeshi la FARDC na wanamgambo wa M23 wanapambana eneo la Mambasa
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Tangu mwishoni mwa juma lililopita kumeendelea kuripotiwa mapigano kati ya wanajeshi wa Serikali wanaosaidiwa na wapiganaji Wazalendo dhidi ya waasi… Read more “DRC: Jeshi la FARDC na wanamgambo wa M23 wanapambana eneo la Mambasa”
DRC: Moise Katumbi na Martin Fayulu waweka misingi ya kutetea Katiba
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC, wakati huu mjadala ukiendelea kuhusu katiba, viongozi wa upinzani Moise Katumbi na Martin… Read more “DRC: Moise Katumbi na Martin Fayulu waweka misingi ya kutetea Katiba”
DRC: Viongozi wa kijadi wanataka kuhusishwa katika mchakato wa amani
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Viongozi wa kijadi na wale kutoka makabila mbalimbali katika mikoa ya Kivu kaskazini, Kusini na Maniema Mashariki mwa DRC, sasa… Read more “DRC: Viongozi wa kijadi wanataka kuhusishwa katika mchakato wa amani”
Uganda-DRC: Museveni na Tshisekedi wanuia kuendeleza mapambano yao dhidi ya kundi la ADF
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Félix Tshisekedi, alipokelewa siku ya Jumatano, Oktoba 30 mjini Entebbe na mwenzake… Read more “Uganda-DRC: Museveni na Tshisekedi wanuia kuendeleza mapambano yao dhidi ya kundi la ADF”
DRC: Kambi ya rais wa zamani Joseph Kabila yapinga mradi wa kufanyia Katiba marekebisho
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Muungano wa Common Front for Congo (FCC) wa Joseph Kabila, rais wa zamani wa DRC kinapinga dhidi ya rasimu ya… Read more “DRC: Kambi ya rais wa zamani Joseph Kabila yapinga mradi wa kufanyia Katiba marekebisho”
DRC na Rwanda zakubaliana kuhusu mpango wa kulidhibiti kundi la waasi wa FDLR
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://liveonlineradio.net/radio-fortune-africa Nchi za DRC na Rwanda, zimekubaliana kuhusu mpango wa kudhibiti na kulitokomeza kundi la FDLR,ambalo Rwanda imekuwa ikidai kwamba DRC… Read more “DRC na Rwanda zakubaliana kuhusu mpango wa kulidhibiti kundi la waasi wa FDLR”