Afrika Leo Wikendi-Radio Fortune Africa. Na Cantona Joseph;Juni 22,2024 Mkuu wa mawaziri Nchini Kenya Musalia Mudavadi amekubali kuvunja chama chake cha Amani National Congress (ANC) ili kuungana… Read more “UAMUZI wa Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi wa kuunganisha chama chake unaweza kumweka kwenye hali sawa na aliyojipata awali iliyomfanya kusukumwa nje ya vyama alivyosaidia kuunda na ambavyo hangeweza kuvidhibiti.”