Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Aliyetufikisha hapa hata kule atatufikisha. Matendo ya Mitume 17:28 Kwa maana ndani yake yeye tunaishi, tunakwenda, na kuwa na uhai wetu. Kama vile… Read more “Ni kipindi Kipya Cha Matumaini.Tulianza sio kwa kuona njia bali kutii sauti ya Mungu.”
Tag: business
Shinikizo zaidi kutoka kwa Wana rika wa Gen z Nchini Kenya.
Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Afrika Leo Mchana-Radio Fortune Africa KUVUNJA baraza la mawaziri bado hakujaridhisha Gen Z na itabidi Rais William Ruto atakeleze mabadiliko katika idara ya… Read more “Shinikizo zaidi kutoka kwa Wana rika wa Gen z Nchini Kenya.”
Afrika Leo Mchana/Wanaume hawana makazi-Radio Fortune Africa
Na Cantona Joseph WANAUME wanaongoza kwa idadi ya watu wasio na makao nchini, inasema ripoti mpya. Kulingana na ripoti iliyotolewa na Baraza la Kitaifa kuhusu Idadi ya… Read more “Afrika Leo Mchana/Wanaume hawana makazi-Radio Fortune Africa”
DRC ndio mfalme wa soka Afrika Mashariki.
Afrika Leo Mchana-Radio Fortune Africa. Na Cantona Joseph;Juni 21,2024 DRC yaongoza kwa ubora wa Soka Afrika Mashariki Kulingana na viwango vya ubora wa soka ulivyotolewa na Shirikisho la… Read more “DRC ndio mfalme wa soka Afrika Mashariki.”
Skills every professional should learn in 2024.
SKILLS EVERY PROFESSIONAL SHOULD LEARN IN 2024. All Rights Reserved © Cantona Group Ltd|2024
Siku ya wakimbizi duniani.
Na Cantona Joseph Juni 20,2024 Nafasi ya kuonyesha utu. Licha ya hali yao ya kukata tamaa, mwelekeo wa kimataifa umeonyesha kuna ongezeko la chuki dhidi ya wakimbizi… Read more “Siku ya wakimbizi duniani.”
Jacob Zuma wa Afrika Kusini hajaridhika.
Na Cantona Joseph:17 Juni 2024 Zuma kwenda katika mahakama ya kimataifa kuhusu matokeo ya uchaguzi wa SA Chama chake cha MK kinashutumu Tume ya Uchaguzi na Mahakama… Read more “Jacob Zuma wa Afrika Kusini hajaridhika.”
Jinsi ufugaji katika vizimba unatishia simba wa Afrika Kusini.
Na Cantona Joseph :Juni 17,2024 Wahifadhi wa Afrika Kusini wanaishinikiza serikali kutekeleza uamuzi wa baraza la mawaziri kukomesha ufugaji wa simba waliotekwa, ambao umezaa tasnia inayoonyesha ukiukaji… Read more “Jinsi ufugaji katika vizimba unatishia simba wa Afrika Kusini.”
Viongozi katika kauti ya Samburu walaani ongezeko la visa vya uhalifu eneo hilo.
VIONGOZI katika Kaunti ya Samburu wameghadhabishwa na kulaani vikali ongezeko la visa vya mauaji ya kinyama yanayotekelezwa kiholela na watu wanaoshukiwa kuwa maafisa wa polisi. Haya yamejiri… Read more “Viongozi katika kauti ya Samburu walaani ongezeko la visa vya uhalifu eneo hilo.”
Wanaoshukiwa kuwa waasi wa ADF wameuwa zaidi ya watu 20 katika jimbo la Kivu Kaskazini DRC
Na Cantona Joseph:13 Juni, 2024 Watu wanaoshukiwa kuwa waasi wa Kiislamu waliwauwa zaidi ya watu 20 katika jimbo la Kivu Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya… Read more “Wanaoshukiwa kuwa waasi wa ADF wameuwa zaidi ya watu 20 katika jimbo la Kivu Kaskazini DRC”