Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://radioslist.com/online/ke/fortuneafrica.html#infomore Umoja wa Mataifa unasema karibia watu 3,661 wameuawa nchini Haiti mwaka huu peke katika machafuko yanayotekelezwa na magenge yenye silaha.… Read more “Haiti: Karibia raia 3,661 wameuawa katika machafuko ya watu wenye silaha”
Tag: business
Aina mpya ya ‘Papa zimwi’ yagunduliwa katika maji ya New Zealand
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wanasayansi wa New Zealand wamegundua aina mpya ya “Papa zimwi” – aina adimu ya samaki ambao ni vigumu sana kuwaona… Read more “Aina mpya ya ‘Papa zimwi’ yagunduliwa katika maji ya New Zealand”
Gachagua hapumui hoja ya kumsuta ikitua Seneti
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa MASAIBU ya kisiasa yanayomkumba Naibu Rais Rigathi Gachagua yanaendelea kushika kasi huku Seneta wa Tana River Danson Mungatana akiwasilisha hoja… Read more “Gachagua hapumui hoja ya kumsuta ikitua Seneti”
Ulinzi mkali katika mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Usalama umeimarishwa mjini New York huku viongozi wa dunia wakikutana kwa ajili ya mkutano wa juu wa kidiplomasia wa mwaka… Read more “Ulinzi mkali katika mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa”
Wahamiaji wanaoingia nchini Uingereza kwa kutumia boti ndogo wafikia Elfu 25
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Idadi ya wahamiaji wanaoingia Uingereza kupitia eneo maarufu la bahari kwa kutumia boti ndogo imefikia elfu 25, hii ikiwa ni… Read more “Wahamiaji wanaoingia nchini Uingereza kwa kutumia boti ndogo wafikia Elfu 25”
Raia wa Urusi wanazuiliwa nchini Chad kwa mujibu wa mamlaka ya Moscow
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wizara ya mambo ya kigeni ya Urusi imethibitisha kuzuiliwa kwa raia wake watatu nchini Chad. Kwa mujibu wa Wizara hiyo,… Read more “Raia wa Urusi wanazuiliwa nchini Chad kwa mujibu wa mamlaka ya Moscow”
UN yaeleza kusikitishwa na hali ya kibinadamu nchini Sudan kutokana na vita
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mkuu wa tume ya haki za binadamu ya umoja wa mataifa, Filippo Grandi, ameelezea kusikitishwa na hali inayoendelea kushuhudiwa nchini… Read more “UN yaeleza kusikitishwa na hali ya kibinadamu nchini Sudan kutokana na vita”
Mtego wa Ruto ulivyomnasa Rigathi eneo la Mlima Kenya
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa HUKU mdahalo kuhusu mpango wa kumtimua ofisini Naibu Rais Rigathi Gachagua ukishika kasi, wadadisi wa masuala ya kisiasa sasa wanasema… Read more “Mtego wa Ruto ulivyomnasa Rigathi eneo la Mlima Kenya”
Je, Israel inaweza kuhifadhi kiti chake katika UN licha ya mauaji ya kimbari ya Gaza?
Kifungu cha 6 cha Mkataba wa Umoja wa Mataifa kinaweza kutumika na Israel inaweza kufukuzwa kutoka Umoja wa Mataifa, wataalam wanasema. Kifungu cha 6 kinaweza kutumiwa kinadharia,… Read more “Je, Israel inaweza kuhifadhi kiti chake katika UN licha ya mauaji ya kimbari ya Gaza?”
Watu wanane wameuawa, 59 kujeruhiwa – wizara ya afya ya Lebanon
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Watu wanane sasa wamethibitishwa kuuawa mjini Beirut na wizara ya afya ya Lebanon. Taarifa zinasema watu 59 wamejeruhiwa katika shambulio… Read more “Watu wanane wameuawa, 59 kujeruhiwa – wizara ya afya ya Lebanon”