Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: business

Jeshi la Israel laanza kuwaita askari wa akiba kwa ajili ya upanuzi wa operesheni zake Gaza

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jeshi la Israel limeanza kuwaita makumi kwa maelfu ya askari wa akiba ili “kuimarisha na kupanua” operesheni zake huko Gaza.… Read more “Jeshi la Israel laanza kuwaita askari wa akiba kwa ajili ya upanuzi wa operesheni zake Gaza”

May 5, 2025 by CantonaDigital

Rwanda kupokea wakimbizi toka Marekani, imeanza mazungumzo na taifa hilo

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rwanda iko katika hatua za awali za mazungumzo ya kupokea wahamiaji watakaofukuzwa kutoka Marekani, Waziri wa Mambo ya Nje wa… Read more “Rwanda kupokea wakimbizi toka Marekani, imeanza mazungumzo na taifa hilo”

May 5, 2025 by CantonaDigital

Israel huenda ikaiteka Gaza yote katika operesheni maalumu, maafisa wasema

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Israel huenda ikaiteka Ukanda wa Gaza na kudhibiti misaada katika mashambulizi yaliyoenea dhidi ya kundi la wanamgambo wa Palestina Hamas… Read more “Israel huenda ikaiteka Gaza yote katika operesheni maalumu, maafisa wasema”

May 5, 2025 by CantonaDigital

Miaka 100 ya Mwalimu Nyerere: Mambo makuu matano aliyosisitiza katika hotuba zake

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Alikulia katika familia ya kawaida kutoka katika kabila dogo la wazanaki. Hii leo, nchini Tanzania kunafanyika maadhimisho ya kuenzi miaka… Read more “Miaka 100 ya Mwalimu Nyerere: Mambo makuu matano aliyosisitiza katika hotuba zake”

May 2, 2025 by CantonaDigital

Hizi ndizo saa za mwisho za Papa zilivyokuwa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Adhuhuri ya Jumatatu, kengele za kanisa kote Italia zilianza kulia. Papa Francis alipoteza maisha. Haikupita hata saa 24 tangu ajitokeze… Read more “Hizi ndizo saa za mwisho za Papa zilivyokuwa”

April 23, 2025 by CantonaDigital

Mfahamu Kadinali Kevin Farrell, anayeongoza Vatican baada ya kifo cha Papa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Baada ya ulimwengu kutaarifiwa kuwa Papa Francis amefariki asubuhi ya Jumatatu, Kadinali Mmarekani , ambaye hajatambuliwa na wengi duniani ,… Read more “Mfahamu Kadinali Kevin Farrell, anayeongoza Vatican baada ya kifo cha Papa”

April 23, 2025 by CantonaDigital

Afrika: CDC inahitaji hakikisho kutoka kwa Trump kuhusiana na chanjo

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kituo cha udhibiti wa magonjwa barani Afrika, CDC, kimesema kinatafuta hakikisho toka kwa utawala wa Rais mteule wa Marekani Donald… Read more “Afrika: CDC inahitaji hakikisho kutoka kwa Trump kuhusiana na chanjo”

November 8, 2024November 8, 2024 by CantonaDigital

Mutuse alivyotolewa jasho na mawakili wa Gachagua katika Seneti

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa ILIKUWA jioni ngumu kwa Mbunge wa Kibwezi Magharibi Mwengi Mutuse alipohojiwa vikali na mawakili wa Naibu Rais Rigathi Gachagua katika… Read more “Mutuse alivyotolewa jasho na mawakili wa Gachagua katika Seneti”

October 17, 2024 by CantonaDigital

Mali: Ukraine yakanusha ripoti ya kuwapa ndege zisizokuwa na rubani waasi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Ukraine imekanusha ripoti za vyombo vya habari siku ya Jumatatu kwamba inahusika na kuwahami waasi wanaopigana kaskazini mwa Mali na… Read more “Mali: Ukraine yakanusha ripoti ya kuwapa ndege zisizokuwa na rubani waasi”

October 15, 2024 by CantonaDigital

ICC: Mwendesha mashtaka aamuru ‘kuanzishwa upya’ kwa uchunguzi nchini DRC

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Katika taarifa kwa vyombo vya habari iliyochapishwa siku ya Jumatatu Oktoba 14, mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu… Read more “ICC: Mwendesha mashtaka aamuru ‘kuanzishwa upya’ kwa uchunguzi nchini DRC”

October 15, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...