https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Maombolezo 3:31-33 Kwa kuwa Bwana hatamtupa mtuHata milele.Maana ajapomhuzunisha atamrehemu,Kwa kadiri ya wingi wa huruma zake.Maana moyo wake hapendi kuwatesa wanadamu.Wala kuwahuzunisha. Nimehimizwa moyoni sana kuandika… Read more “Jiandae kwa kipindi Cha Matumaini-Hii Ni Idhaa Ya Kiswahili Radio Fortune Africa.”
Tag: bungoma
Mdomo unaoziba ni hatima iliyoziba!!!
Radio Fortune Africa -Bao La Asubui https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph Wapo watu wengi sana ambao wanahitaji MSAADA na wanatamani KUONGEA, ila wanaogopa sana KUHUKUMIWA. Dunia yetu imejaa… Read more “Mdomo unaoziba ni hatima iliyoziba!!!”
Wimbi Jipya la Maandamano Nchini Kenya.
Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph RAIS William Ruto ameonekana kurejelea shughuli na hulka yake ya kawaida huku vijana wakiendeleza wimbi jipya la maandamano ya kupinga… Read more “Wimbi Jipya la Maandamano Nchini Kenya.”
Shilingi ya Kenya ingali dhabiti dhidi ya dola ya Marekani.
Radio Fortune Africa -Uchumi Na Biashara. https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph SHILINGI ya Kenya ilisalia thabiti wiki jana dhidi ya dola, ikichochewa na mapato kutoka kwa sekta ya… Read more “Shilingi ya Kenya ingali dhabiti dhidi ya dola ya Marekani.”
Inspekta mkuu wa Jeshi la polisi Nchini Kenya ajiuzulu.
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph -Radio Fortune Africa #AfrikaLeoJioni INSPEKTA Jenerali wa polisi Japhet Koome amezidiwa na presha kutoka wa umma na kujiuzulu, Rais William Ruto ametangaza. Msemaji… Read more “Inspekta mkuu wa Jeshi la polisi Nchini Kenya ajiuzulu.”
Shinikizo zaidi kutoka kwa Wana rika wa Gen z Nchini Kenya.
Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Afrika Leo Mchana-Radio Fortune Africa KUVUNJA baraza la mawaziri bado hakujaridhisha Gen Z na itabidi Rais William Ruto atakeleze mabadiliko katika idara ya… Read more “Shinikizo zaidi kutoka kwa Wana rika wa Gen z Nchini Kenya.”
Raila Odinga asikitishwa na visa vya mauaji vijana wandaamanaji na polisi.
Afrika Leo Jioni-Radio Fortune Africa Na Cantona Joseph KINARA wa Azimio la Umoja, Bw Raila Odinga ameelezea kusikitishwa kwake na visa vya mauaji ya vijana yanayotajwa kutekelezwa… Read more “Raila Odinga asikitishwa na visa vya mauaji vijana wandaamanaji na polisi.”