Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: afya

Wakuu wa taasisi za elimu ya juu Marekani waungana dhidi ya sera za elimu za Trump

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Zaidi ya marais 100 wa vyuo vikuu na mashirika ya elimu wamechapisha taarifa ya pamoja siku ya Jumanne kupinga sera… Read more “Wakuu wa taasisi za elimu ya juu Marekani waungana dhidi ya sera za elimu za Trump”

April 22, 2025 by CantonaDigital

Zaidi ya watu 400 wauawa na waasi huko Sudan – UN inasema

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Zaidi ya watu 400 wameuawa katika mashambulizi ya hivi majuzi ya Jeshi la Rapid Support Forces (RSF) katika jimbo la… Read more “Zaidi ya watu 400 wauawa na waasi huko Sudan – UN inasema”

April 15, 2025 by CantonaDigital

Uingereza yatangaza msaada zaidi wa kijeshi kwa Ukraine

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Serikali ya Uingereza imetangaza itaipatia Ukraine msaada zaidi wa kijeshi wa kima cha dola milioni mia nne na hamsini ambazo… Read more “Uingereza yatangaza msaada zaidi wa kijeshi kwa Ukraine”

April 11, 2025 by CantonaDigital

Dawa mpya ya kutibu saratani ya matiti yaanza kutumika Uingereza

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Waathiriwa wa saratani ya matiti nchini Uingereza wamepata ahueni baada ya dawa mpya ya kukabiliana na ugonjwa huo kupatikana. Dawa… Read more “Dawa mpya ya kutibu saratani ya matiti yaanza kutumika Uingereza”

April 11, 2025April 11, 2025 by CantonaDigital

Wachina 3 waliokamatwa na vyuma vya dhahabu DRC wahukuliwa kifungo jela

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Raia watatu wa China, waliokamatwa na dhahabu na kiasi kikubwa cha fedha mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC),… Read more “Wachina 3 waliokamatwa na vyuma vya dhahabu DRC wahukuliwa kifungo jela”

January 16, 2025 by CantonaDigital

Mwanamke alaghaiwa $850,000 na waliojifanya mwigizaji Brad Pitt iliyoundwa na akili mnemba

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mwanamke mmoja Mfaransa alilaghaiwa $850,000 na wanaojifanya mwigizaji Brad Pitt kwa usaidizi wa akili mnemba. Kisa hicho kilitangazwa na kituo… Read more “Mwanamke alaghaiwa $850,000 na waliojifanya mwigizaji Brad Pitt iliyoundwa na akili mnemba”

January 16, 2025 by CantonaDigital

Watu wanane wafariki katika mlipuko unaoshukiwa kuwa wa virusi vya Marburg Tanzania

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko unaoshukiwa kuwa wa virusi vya ugonjwa wa Marburg umewaua watu wanane katika mkoa… Read more “Watu wanane wafariki katika mlipuko unaoshukiwa kuwa wa virusi vya Marburg Tanzania”

January 15, 2025 by CantonaDigital

Sudan: Maelfu wakimbia kusini mwa Sudan huku mapigano yakizidi kuongezeka

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Sudan, maelfu ya raia katika mji wa Um Rawaba, uliopo kwenye jimbo la Kordofan ya Kaskazini, wamekimbia makwao kutokana… Read more “Sudan: Maelfu wakimbia kusini mwa Sudan huku mapigano yakizidi kuongezeka”

January 13, 2025 by CantonaDigital

Niger: Eva Gretzmacher, raia wa Austria, atekwa nyara Agadez

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wizara ya Mambo ya Nje ya Austria imethibitisha Jumapili, Januari 12, kutekwa nyara kwa raia wa Austria huko Agadez, kaskazini… Read more “Niger: Eva Gretzmacher, raia wa Austria, atekwa nyara Agadez”

January 13, 2025 by CantonaDigital

Zijue nchi za Afrika zisizoruhusu uraia pacha, zipo za Afrika Mashariki

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Uraia wa nchi mbili ni kinyume cha sheria katika nchi kadhaa za Kiafrika. Lakini uraia huo hutoa manufaa mbalimbali, ikiwa… Read more “Zijue nchi za Afrika zisizoruhusu uraia pacha, zipo za Afrika Mashariki”

January 11, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...