Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: afya

Miaka 25 baadaye, Jumuiya ya Afrika Mashariki bado iko kwenye mstari?

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Pamoja na maendeleo makubwa yaliyofanywa na EAC kwa miaka mingi bado wataalamu wanabaini kuwa baadhi ya changamoto zisiposhughulikiwa zitakwamisha ajenda… Read more “Miaka 25 baadaye, Jumuiya ya Afrika Mashariki bado iko kwenye mstari?”

November 29, 2024 by CantonaDigital

Uchaguzi mkuu Namibia: Mkanganyiko kufuatia kuongezwa kwa muda wa kupiga kura.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mkanganyiko siku moja baada ya uchaguzi mkuu wa Novemba 27, 2024 nchini Namibia: hata kabla ya matokeo madogo madogo ya… Read more “Uchaguzi mkuu Namibia: Mkanganyiko kufuatia kuongezwa kwa muda wa kupiga kura.”

November 29, 2024 by CantonaDigital

Chad yatangaza kuvunja makubaliano yake ya ushirikiano wa kiulinzi na Ufaransa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Saa chache baada ya ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Jean-Noël Barrot nchini Chad, waziri mwenzake Abderaman… Read more “Chad yatangaza kuvunja makubaliano yake ya ushirikiano wa kiulinzi na Ufaransa”

November 29, 2024 by CantonaDigital

Tanzania: Chama tawala chashinda 98% ya viti katika chaguzi za mitaa, waziri atangaza

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Chama tawala nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi, ambacho kimetawala siasa kwa miongo kadhaa katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki, kimeshinda… Read more “Tanzania: Chama tawala chashinda 98% ya viti katika chaguzi za mitaa, waziri atangaza”

November 29, 2024 by CantonaDigital

Senegal: Emmanuel Macron atambua ‘mauaji’ ya Thiaroye mnamo 1944

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Katika barua iliyotumwa kwa Rais wa Senegal hivi punde siku ya Alhamisi, Novemba 28, Emmanuel Macron anathibitisha kwamba “Ufaransa lazima… Read more “Senegal: Emmanuel Macron atambua ‘mauaji’ ya Thiaroye mnamo 1944”

November 29, 2024 by CantonaDigital

Maisha mithili ya Mshale unaocheza katikati.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Maisha ni kama mshale unaocheza katikati ya mstari WIMA (JUU) na MLALO (CHINI) na huanzia pale mistari hiyo ilipoungana.:Maana yake… Read more “Maisha mithili ya Mshale unaocheza katikati.”

November 29, 2024 by CantonaDigital

Korti yataka ushahidi kwamba Ruto alifuta ,mkataba wa zabuni wa Adani

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais William Ruto aliyetangazia nchi kwamba dili za Adani zimefutwa kutokana na habari za kifisadi zilizohusishwa na kampuni hiyo. Picha|Maktaba… Read more “Korti yataka ushahidi kwamba Ruto alifuta ,mkataba wa zabuni wa Adani”

November 28, 2024November 28, 2024 by CantonaDigital

Uchaguzi Tanzania: Upinzani washutumu mauaji na udanganyifu

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema, kimeshutumu mauaji ya wafuasi wake wawili katika mkesha wa uchaguzi wa serikali za… Read more “Uchaguzi Tanzania: Upinzani washutumu mauaji na udanganyifu”

November 28, 2024 by CantonaDigital

Hati ya kukamatwa ya ICC: Benyamin Netanyahu ana ‘kinga’, kulingana na Ufaransa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ananufaika na “kinga” ambayo “inapaswa izingatiwe” licha ya hati ya kukamatwa kwake iliyotolewa na… Read more “Hati ya kukamatwa ya ICC: Benyamin Netanyahu ana ‘kinga’, kulingana na Ufaransa”

November 28, 2024 by CantonaDigital

DRC: Watu milioni 25 wanakabiliwa na uhaba wa chakula, FAO yatoa tahadhari

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), karibu robo ya wakazi, au zaidi ya watu milioni 25, wanakabiliwa na njaa,… Read more “DRC: Watu milioni 25 wanakabiliwa na uhaba wa chakula, FAO yatoa tahadhari”

November 28, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...