Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: garisa

Babu Owino aagizwa kufika katika makao makuu DCI Nchini Kenya kuhojiwa.

Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph MBUNGE wa Embakasi Mashariki Babu Owino ameitwa kufika mbele ya wapelelezi wa Idara ya Uchunguzi wa Jinai (DCI) kuhojiwa kuhusiana… Read more “Babu Owino aagizwa kufika katika makao makuu DCI Nchini Kenya kuhojiwa.”

July 23, 2024July 23, 2024 by CantonaDigital

Mdomo unaoziba ni hatima iliyoziba!!!

Radio Fortune Africa -Bao La Asubui https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph Wapo watu wengi sana ambao wanahitaji MSAADA na wanatamani KUONGEA, ila wanaogopa sana KUHUKUMIWA. Dunia yetu imejaa… Read more “Mdomo unaoziba ni hatima iliyoziba!!!”

July 22, 2024 by CantonaDigital

Madiwani wa Wiper wamshauri Kalonzo Musyoka.

Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph KUNDI la Wawakilishi wa Bunge la Kaunti (MCAs) ya Kitui na Wanachama wa Wiper wamemtaka kiongozi wao, Kalonzo Musyoka, kujiondoa… Read more “Madiwani wa Wiper wamshauri Kalonzo Musyoka.”

July 18, 2024 by CantonaDigital

Gavana Mwangaza wa Meru Nchini Kenya katika mizani tena.

Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph GAVANA wa Meru, Kawira Mwangaza, huenda akaondolewa mamlakani katika jaribio la mara ya nne, madiwani mara hii wakimlaumu kwa makosa… Read more “Gavana Mwangaza wa Meru Nchini Kenya katika mizani tena.”

July 18, 2024 by CantonaDigital

Shilingi ya Kenya ingali dhabiti dhidi ya dola ya Marekani.

Radio Fortune Africa -Uchumi Na Biashara. https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph SHILINGI ya Kenya ilisalia thabiti wiki jana dhidi ya dola, ikichochewa na mapato kutoka kwa sekta ya… Read more “Shilingi ya Kenya ingali dhabiti dhidi ya dola ya Marekani.”

July 17, 2024 by CantonaDigital

Inspekta mkuu wa Jeshi la polisi Nchini Kenya ajiuzulu.

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph -Radio Fortune Africa #AfrikaLeoJioni INSPEKTA Jenerali wa polisi Japhet Koome amezidiwa na presha kutoka wa umma na kujiuzulu, Rais William Ruto ametangaza. Msemaji… Read more “Inspekta mkuu wa Jeshi la polisi Nchini Kenya ajiuzulu.”

July 12, 2024 by CantonaDigital

Shinikizo zaidi kutoka kwa Wana rika wa Gen z Nchini Kenya.

Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Afrika Leo Mchana-Radio Fortune Africa KUVUNJA baraza la mawaziri bado hakujaridhisha Gen Z na itabidi Rais William Ruto atakeleze mabadiliko katika idara ya… Read more “Shinikizo zaidi kutoka kwa Wana rika wa Gen z Nchini Kenya.”

July 12, 2024 by CantonaDigital

Mke wa waziri mkuu wa Israeli aonya wakuu wa Jeshi kwa mpango wa mapinduzi.

Afrika Leo Asubui-Radio Fortune Africa Na Cantona Joseph Mke wa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amewashutumu maafisa wakuu wa jeshi kwa kujaribu kupanga mapinduzi dhidi ya… Read more “Mke wa waziri mkuu wa Israeli aonya wakuu wa Jeshi kwa mpango wa mapinduzi.”

June 26, 2024 by CantonaDigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar