Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: -121—-daniel

Soko la soka Ulaya Jumatano: Aston Villa sasa yavutiwa na Nicolas Jackson wa Chelsea

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mshambuliaji wa Chselsea Nicholas Jackson Aston Villa inachunguza uwezekano wa kumnunua mshambuliaji wa Senegal Nicolas Jackson, 24, kutoka Chelsea lakini… Read more “Soko la soka Ulaya Jumatano: Aston Villa sasa yavutiwa na Nicolas Jackson wa Chelsea”

August 20, 2025 by CantonaDigital

Aliyoyasema Trump baada ya mkutano wake na Rais Zelensky

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Muda mfupi uliopita, Donald Trump alizungumza kwenye Fox News, akitoa maoni yake kwa mara ya kwanza tangu rais wa Marekani… Read more “Aliyoyasema Trump baada ya mkutano wake na Rais Zelensky”

August 19, 2025 by CantonaDigital

Malumbano ya kukosa heshima bado yanaendelea juu ya mwili wa rais wa zamani wa Zambia

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph “Unarudi nyumbani!” – msemo unaohusishwa na mashabiki wa soka wa Uingereza – sasa umepata umaarufu miongoni mwa baadhi ya Wazambia katika… Read more “Malumbano ya kukosa heshima bado yanaendelea juu ya mwili wa rais wa zamani wa Zambia”

August 15, 2025 by CantonaDigital

Jinsi ya upishi.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa “umejifunza lini kupika?” aliuliza mama Mona kwa mshangao, “bibi yake Jack amenifundisha” jibu la Monalisa, alikumshtua mama Mona, kama lilivyo… Read more “Jinsi ya upishi.”

August 13, 2025 by CantonaDigital

Nelson Mandela… Rais Mweusi wa kwanza wa Afrika Kusini

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa “Kama ningetembelea Misri, ningetembelea Piramidi, Nile Kuu na kaburi la Gamal Abdel Nasser” – Nelson Mandela Nelson Mandela alizaliwa Julai… Read more “Nelson Mandela… Rais Mweusi wa kwanza wa Afrika Kusini”

August 13, 2025 by CantonaDigital

Guevara wa Afrika Thomas Sankara

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Inawezekana kuwaua wapiganaji, lakini mawazo yao hapana. ”- miaka 34 baada ya mauaji ya Guevara wa Afrika. Thomas Isidore Noel… Read more “Guevara wa Afrika Thomas Sankara”

August 13, 2025 by CantonaDigital

Moto wa nyika unavuma kote Ulaya Kusini huku joto likizidi.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wimbi la joto kali linachochea moto wa nyika katika maeneo ya kusini mwa Ulaya, na kulazimisha maelfu ya watu kukimbia… Read more “Moto wa nyika unavuma kote Ulaya Kusini huku joto likizidi.”

August 13, 2025 by CantonaDigital

Trump asema atajaribu kurudisha eneo la Ukraine katika mazungumzo na Putin

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Marekani Donald Trump amethibitisha kwamba atajaribu kurejesha baadhi ya maeneo ya Ukraine wakati wa mkutano wake na Rais… Read more “Trump asema atajaribu kurudisha eneo la Ukraine katika mazungumzo na Putin”

August 12, 2025 by CantonaDigital

Soko la soka Ulaya Jumanne: Man City wamuwinda Rodrygo

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Manchester City wanafikiria kumnunua mshambuliaji wa Real Madrid mwenye umri wa miaka 24 Rodrygo, ambaye thamani yake ni pauni milioni… Read more “Soko la soka Ulaya Jumanne: Man City wamuwinda Rodrygo”

August 12, 2025 by CantonaDigital

Soko la Soka Ulaya: Jackson asakwa Bayern, Isak haeleweki bado.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Bayern Munich wameulizia kuhusu upatikanaji wa mshambuliaji wa Senegal, Nicolas Jackson, 24, ambaye Chelsea wanataka pauni £48m ili kumuuza, anasakwa… Read more “Soko la Soka Ulaya: Jackson asakwa Bayern, Isak haeleweki bado.”

August 8, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...