Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Leo nasikia kusema jambo hili kwamba kama ni Mungu amekupitisha kwenye jaribu au kwenye mtihani kwa sababu ya baraka au hatima njema iliyoko… Read more “Jiandae kwa kipindi Kipya Cha Matumaini.”
Tag: homabay
Jiandae kwa kipindi Cha Matumaini-Hii Ni Idhaa Ya Kiswahili Radio Fortune Africa.
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Maombolezo 3:31-33 Kwa kuwa Bwana hatamtupa mtuHata milele.Maana ajapomhuzunisha atamrehemu,Kwa kadiri ya wingi wa huruma zake.Maana moyo wake hapendi kuwatesa wanadamu.Wala kuwahuzunisha. Nimehimizwa moyoni sana kuandika… Read more “Jiandae kwa kipindi Cha Matumaini-Hii Ni Idhaa Ya Kiswahili Radio Fortune Africa.”
Sekta ya utali ya hathirika kutokana na maandamano.
Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph SEKTA ya utalii mjini Mombasa huenda ikazidi kudorora iwapo maandamano dhidi ya serikali yataendelea. Wadau katika sekta hiyo wamesema utalii… Read more “Sekta ya utali ya hathirika kutokana na maandamano.”
Mikakati Kukomeshwa ukatili wa watoto Nchini Kenya.
Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph KATIBU katika Wizara ya Leba na Ulinzi wa Jamii, Bw Joseph Motari amesema kuwa serikali inaendelea kuimarisha mikakati kukomesha ukatili… Read more “Mikakati Kukomeshwa ukatili wa watoto Nchini Kenya.”
Gavana Mwangaza wa Meru Nchini Kenya katika mizani tena.
Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph GAVANA wa Meru, Kawira Mwangaza, huenda akaondolewa mamlakani katika jaribio la mara ya nne, madiwani mara hii wakimlaumu kwa makosa… Read more “Gavana Mwangaza wa Meru Nchini Kenya katika mizani tena.”
Shilingi ya Kenya ingali dhabiti dhidi ya dola ya Marekani.
Radio Fortune Africa -Uchumi Na Biashara. https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph SHILINGI ya Kenya ilisalia thabiti wiki jana dhidi ya dola, ikichochewa na mapato kutoka kwa sekta ya… Read more “Shilingi ya Kenya ingali dhabiti dhidi ya dola ya Marekani.”
Inspekta mkuu wa Jeshi la polisi Nchini Kenya ajiuzulu.
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph -Radio Fortune Africa #AfrikaLeoJioni INSPEKTA Jenerali wa polisi Japhet Koome amezidiwa na presha kutoka wa umma na kujiuzulu, Rais William Ruto ametangaza. Msemaji… Read more “Inspekta mkuu wa Jeshi la polisi Nchini Kenya ajiuzulu.”
Shinikizo zaidi kutoka kwa Wana rika wa Gen z Nchini Kenya.
Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Afrika Leo Mchana-Radio Fortune Africa KUVUNJA baraza la mawaziri bado hakujaridhisha Gen Z na itabidi Rais William Ruto atakeleze mabadiliko katika idara ya… Read more “Shinikizo zaidi kutoka kwa Wana rika wa Gen z Nchini Kenya.”