Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Leo nasikia kusema jambo hili kwamba kama ni Mungu amekupitisha kwenye jaribu au kwenye mtihani kwa sababu ya baraka au hatima njema iliyoko… Read more “Jiandae kwa kipindi Kipya Cha Matumaini.”
Tag: eldoret
Jiandae kwa kipindi Cha Matumaini-Hii Ni Idhaa Ya Kiswahili Radio Fortune Africa.
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Maombolezo 3:31-33 Kwa kuwa Bwana hatamtupa mtuHata milele.Maana ajapomhuzunisha atamrehemu,Kwa kadiri ya wingi wa huruma zake.Maana moyo wake hapendi kuwatesa wanadamu.Wala kuwahuzunisha. Nimehimizwa moyoni sana kuandika… Read more “Jiandae kwa kipindi Cha Matumaini-Hii Ni Idhaa Ya Kiswahili Radio Fortune Africa.”
Inspekta mkuu wa Jeshi la polisi Nchini Kenya ajiuzulu.
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph -Radio Fortune Africa #AfrikaLeoJioni INSPEKTA Jenerali wa polisi Japhet Koome amezidiwa na presha kutoka wa umma na kujiuzulu, Rais William Ruto ametangaza. Msemaji… Read more “Inspekta mkuu wa Jeshi la polisi Nchini Kenya ajiuzulu.”
Shinikizo zaidi kutoka kwa Wana rika wa Gen z Nchini Kenya.
Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Afrika Leo Mchana-Radio Fortune Africa KUVUNJA baraza la mawaziri bado hakujaridhisha Gen Z na itabidi Rais William Ruto atakeleze mabadiliko katika idara ya… Read more “Shinikizo zaidi kutoka kwa Wana rika wa Gen z Nchini Kenya.”
Tabia zitakazokupotezea hela-Radio Fortune Africa
Kuna tabia ukiwa nazo zitakufanya upoteze hela nyingi sana… Kila siku kuna watu wanajiuliza mbina mimi nikipata pesa hazikai. Ukipata pesa kidogo zinapotea. kuna watu wengine wanaaami… Read more “Tabia zitakazokupotezea hela-Radio Fortune Africa”
Raila Odinga asikitishwa na visa vya mauaji vijana wandaamanaji na polisi.
Afrika Leo Jioni-Radio Fortune Africa Na Cantona Joseph KINARA wa Azimio la Umoja, Bw Raila Odinga ameelezea kusikitishwa kwake na visa vya mauaji ya vijana yanayotajwa kutekelezwa… Read more “Raila Odinga asikitishwa na visa vya mauaji vijana wandaamanaji na polisi.”
Nguvu ya Gen Z? Vijana waandamanaji wakilazimisha mabadiliko ushuru Kenya.
Afrika Leo Mchana-Radio Fortune Africa . Na Cantona Joseph,Juni 21,2024. Vijana wa Kenya waliingia barabarani katika jiji kuu la Nairobi kupinga msururu wa ushuru mpya katika Muswada… Read more “Nguvu ya Gen Z? Vijana waandamanaji wakilazimisha mabadiliko ushuru Kenya.”