Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: drc

Mashariki mwa DRC: Mapigano yarindima kusini mwa wilaya ya Lubero

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mapigano yameripotiwa tena kuanzia leo asubuhi, Kusini mwa Wilaya ya Lubero katika mkoa wa Kivu Kaskazini, Mashariki mwa DRC kati… Read more “Mashariki mwa DRC: Mapigano yarindima kusini mwa wilaya ya Lubero”

January 10, 2025 by CantonaDigital

DR Congo: Raia waandamana mjini Bukavu kutokana na ukosefu wa usalama Mashariki mwa nchi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini DRC, asasi za kiraia zimefanya maandamano hapo jana siku ya Jumatano mjini Bukavu kupinga vita vinavyoendelea mashariki mwa nchi… Read more “DR Congo: Raia waandamana mjini Bukavu kutokana na ukosefu wa usalama Mashariki mwa nchi”

January 9, 2025 by CantonaDigital

Jeshi la Congo lachukua udhibiti wa sehemu za mji wa Masisi kutoka M23

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (FARDC) na washirika wake, wanamgambo Wazalendo, jana waliteka tena sehemu za mji wa… Read more “Jeshi la Congo lachukua udhibiti wa sehemu za mji wa Masisi kutoka M23”

January 9, 2025 by CantonaDigital

Marekani inalaani hatua ya M23 ya kuteka baadhi ya maeneo mashariki mwa DRC

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Marekani imelaani ukiukaji mkubwa wa usitishaji vita mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kundi lenye silaha la M23,… Read more “Marekani inalaani hatua ya M23 ya kuteka baadhi ya maeneo mashariki mwa DRC”

January 9, 2025 by CantonaDigital

DRC: Jeshi la FARDC na wanamgambo wa M23 wanapambana eneo la Mambasa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Tangu mwishoni mwa juma lililopita kumeendelea kuripotiwa mapigano kati ya wanajeshi wa Serikali wanaosaidiwa na wapiganaji Wazalendo dhidi ya waasi… Read more “DRC: Jeshi la FARDC na wanamgambo wa M23 wanapambana eneo la Mambasa”

December 24, 2024 by CantonaDigital

DRC: Moise Katumbi na Martin Fayulu waweka misingi ya kutetea Katiba

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC, wakati huu mjadala ukiendelea kuhusu katiba, viongozi wa upinzani Moise Katumbi na Martin… Read more “DRC: Moise Katumbi na Martin Fayulu waweka misingi ya kutetea Katiba”

December 9, 2024 by CantonaDigital

DRC: Viongozi wa kijadi wanataka kuhusishwa katika mchakato wa amani

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Viongozi wa kijadi na wale kutoka makabila mbalimbali katika mikoa ya Kivu kaskazini, Kusini na Maniema Mashariki mwa DRC, sasa… Read more “DRC: Viongozi wa kijadi wanataka kuhusishwa katika mchakato wa amani”

December 3, 2024 by CantonaDigital

Uganda-DRC: Museveni na Tshisekedi wanuia kuendeleza mapambano yao dhidi ya kundi la ADF

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Félix Tshisekedi, alipokelewa siku ya Jumatano, Oktoba 30 mjini Entebbe na mwenzake… Read more “Uganda-DRC: Museveni na Tshisekedi wanuia kuendeleza mapambano yao dhidi ya kundi la ADF”

November 1, 2024 by CantonaDigital

DRC: Kambi ya rais wa zamani Joseph Kabila yapinga mradi wa kufanyia Katiba marekebisho

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Muungano wa Common Front for Congo (FCC) wa Joseph Kabila, rais wa zamani wa DRC kinapinga dhidi ya rasimu ya… Read more “DRC: Kambi ya rais wa zamani Joseph Kabila yapinga mradi wa kufanyia Katiba marekebisho”

October 29, 2024 by CantonaDigital

DRC na Rwanda zakubaliana kuhusu mpango wa kulidhibiti kundi la waasi wa FDLR

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://liveonlineradio.net/radio-fortune-africa Nchi za DRC na Rwanda, zimekubaliana kuhusu mpango wa kudhibiti na kulitokomeza kundi la FDLR,ambalo Rwanda imekuwa ikidai kwamba DRC… Read more “DRC na Rwanda zakubaliana kuhusu mpango wa kulidhibiti kundi la waasi wa FDLR”

October 14, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...