https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Maombolezo 3:31-33 Kwa kuwa Bwana hatamtupa mtuHata milele.Maana ajapomhuzunisha atamrehemu,Kwa kadiri ya wingi wa huruma zake.Maana moyo wake hapendi kuwatesa wanadamu.Wala kuwahuzunisha. Nimehimizwa moyoni sana kuandika… Read more “Jiandae kwa kipindi Cha Matumaini-Hii Ni Idhaa Ya Kiswahili Radio Fortune Africa.”
Tag: machakos
Panya waharibu mpunga Mwea.
Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph PANYA wamevamia mradi wa unyunyuzaji wa Mwea Kaunti ya Kirinyaga na kusababisha uharibifu mkubwa katika vitalu vya kukuzia mpunga. Panya… Read more “Panya waharibu mpunga Mwea.”
Madiwani wa Wiper wamshauri Kalonzo Musyoka.
Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph KUNDI la Wawakilishi wa Bunge la Kaunti (MCAs) ya Kitui na Wanachama wa Wiper wamemtaka kiongozi wao, Kalonzo Musyoka, kujiondoa… Read more “Madiwani wa Wiper wamshauri Kalonzo Musyoka.”
Shilingi ya Kenya ingali dhabiti dhidi ya dola ya Marekani.
Radio Fortune Africa -Uchumi Na Biashara. https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph SHILINGI ya Kenya ilisalia thabiti wiki jana dhidi ya dola, ikichochewa na mapato kutoka kwa sekta ya… Read more “Shilingi ya Kenya ingali dhabiti dhidi ya dola ya Marekani.”
Raila Odinga asikitishwa na visa vya mauaji vijana wandaamanaji na polisi.
Afrika Leo Jioni-Radio Fortune Africa Na Cantona Joseph KINARA wa Azimio la Umoja, Bw Raila Odinga ameelezea kusikitishwa kwake na visa vya mauaji ya vijana yanayotajwa kutekelezwa… Read more “Raila Odinga asikitishwa na visa vya mauaji vijana wandaamanaji na polisi.”
Machakos Governor calls for public participation.
Machakos Governor Wavinya Ndeti has welcomed public participation to deliberate on the banning of Muguka in the county. Speaking during a church service in Machakos on Sunday,… Read more “Machakos Governor calls for public participation.”