Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: world-news

Kesi ya kumuondoa madarakani rais aliyesimamishwa kazi yaanza kusikilizwa.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mahakama ya kikatiba ya Korea Kusini imefanya kikao chake cha kwanza kuamua iwapo Rais aliyesimamishwa kazi Yoon Suk Yeol aondolewe… Read more “Kesi ya kumuondoa madarakani rais aliyesimamishwa kazi yaanza kusikilizwa.”

January 14, 2025 by CantonaDigital

Korea Kusini: Mkuu wa usalama wa Rais Park Chong-jun ajiuzulu

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mkuu wa kitengo cha ulinzi wa rais wa Korea Kusini aliyeondolewa madarakani Yoon Suk-yeol, ambaye timu yake ilimzuia kukamatwa na… Read more “Korea Kusini: Mkuu wa usalama wa Rais Park Chong-jun ajiuzulu”

January 11, 2025 by CantonaDigital

MSF yawatibu karibu majeruhi 160 huko Kivu kufuatia mapigano ya Jeshi na M23

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Eneo la Masisi katika jimbo la Kivu Kaskazini limekuwa na mapigano makali katika siku za hivi karibuni kati ya kundi… Read more “MSF yawatibu karibu majeruhi 160 huko Kivu kufuatia mapigano ya Jeshi na M23”

January 8, 2025 by CantonaDigital

Mashambulizi ya Israel yaua watu 19 Gaza, wakiwemo watoto wanane

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Takribani Wapalestina 19, wakiwemo watoto wanane, wameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel kusini mwa Gaza usiku kucha, wanasema maafisa… Read more “Mashambulizi ya Israel yaua watu 19 Gaza, wakiwemo watoto wanane”

January 8, 2025 by CantonaDigital

Wachunguzi wa Korea Kusini wamtaka kaimu rais arahisishe kukamatwa kwa Rais Yoon.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wachunguzi wa Korea Kusini wamemtaka tena kaimu rais wa nchi hiyo Jumamosi kuamuru idara ya usalama ya rais kufuata agizo… Read more “Wachunguzi wa Korea Kusini wamtaka kaimu rais arahisishe kukamatwa kwa Rais Yoon.”

January 4, 2025 by CantonaDigital

Iran yaishambulia Israel kwa makombora 200

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://liveonlineradio.net/radio-fortune-africa Iran imetekeleza mashambulizi makubwa dhidi ya Israel kwa kutumia makombora ya balistiki. Makombora mengi yamenaswa, haswa katika anga ya Jerusalem… Read more “Iran yaishambulia Israel kwa makombora 200”

October 2, 2024 by CantonaDigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar