Viongozi mbalimbali wamezungumzia vipi mauaji ya Ismail Haniyeh wa Hamas ?

Radio Fortune Africa

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Kuuawa kwa kiongozi mkuu na wa kisiasa wa kundi la Hamas Ismail Haniyeh aliyeshambuliwa na ndege isiyokuwa na rubani, akiwa katika makaazi yake jijini Tehran nchini Iran, kumelaumiwa kutekelezwa na Israeli na kuzua wasiwasi wa kusambaa kwa mzozo kati ya Israeli na Hamas.

Protestatarii iranieni  la o demonstrație pentru a condamna uciderea liderului Hamas, Ismail Haniyeh, 31 iulie 2024, Teheran

Israel haijasema chochote kuhusu kuuawa kwa Haniyeh, huku wasiwasi ukizuka kuwa tukio hilo litageuza vita vya Israel na Gaza kuwa vya kikanda.

Rais mpya wa Iran Masoud Pezeshkian, ambaye kiongozi huyo wa Hamas alikuwa amekuja kuhudhuria kuapishwa kwake, amesema Israel itaadhibiwa vikali, kauli ambayo imeungwa mkono na kiongozi wa kiroho Ayatollah Ali Khamenei.

Kwenye picha, aliyekuwa kiongozi wa kisiasa wa Hamas Ismail Haniyeh, kushoto, akiwa katika mazungumzo na Ayatollah Ali Khamenei kiongozi wa kiroho wa Iran mjini Tehran, Iran, Jumanne, Machi 26, 2024.  (Office of the Iranian Supreme Leader via AP)

Kiongozi wa Mamlaka ya Palestine rais Mahmud Abbas ambaye ni mpinzani wake wa kisiasa, ameelezea kitendo cha kuuawa kwa kiongozi huyo wa Hamas kama kilichotekelewa na watu na kuwataka Wapalestina kuendelea kusimama pamoja dhidi ya uvamizi wa Israeli.

Nchi za Urusi na China, zimelaaniwa kuuawa kwa Haniyeh huku nchi za Qatar na Uturuki, zikisema kitendo cha kumuua kiongozi huyo ni cha aibu na uhalifu mkubwa.

Watu wakiwa wamekusanyika baada ya kifo cha kiongozi wa kisiasa wa Hamas Ismaïl Haniyeh huko Ramallah, June 31, 2024.
Watu wakiwa wamekusanyika baada ya kifo cha kiongozi wa kisiasa wa Hamas Ismaïl Haniyeh huko Ramallah, June 31, 2024. REUTERS – Mohamad Torokman

Haniyeh mwenye umri wa miaka 62, amekuwa kwenye kundi la Hamas tangu miaka ya 80 na aliwahi kufungwa jela la Israeli miaka mitatu mwaka 1989 na baadaye kuwa huru baada ya mpango wa kubadiliana wafungwa na Hamas.

Amekuwa akishikilia wadhifa wa uongozi wa kisiasa wa kundi la Hamas tangu mwaka 2017.

Kusambaza :

Soma zaidi mada inayofanana kwingineko:

Kuhusu mada hiyohiyo

Jeshi la #Israel limedai kumuua mkuu wa kijeshi wa wapiganaji wa #Hamas Mohammed Deif katika shambulio lake la mwezi uliopita katika mji wa Khan Yunis kusini mwa #Gaza.

Madai ya #israeli kumuua Deif yamekuja ikiwa imepita siku moja baada ya kuuawa kwa mkuu wa kisiasa wa Hamas Ismail Haniyeh mjini #Tehran , maujai ambayo yalithibitishwa na Iran na Hamas.

📷Maktaba

Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi la Israeli, IDF, Mohammed Deif aliuuawa katika shambulio la ndege za kivita katika eneo la Khan Yunis tarehe 13 ya mwezi Julai.

Israeli imedai kumuua mkuu wa kijeshi wa Hamas Mohammed Deif katika shambulio

Picha ya kiongozi wa Hamas aliyeuawa, Ismaïl Haniyeh, na bendera za Palestina, wakati wa maandamano katika mitaa ya Tehran, Iran, Julai 31, 2024.

Kiongozi wa Hamas Ismaïl Haniyeh, aliyeuawa katika shambulio linalohusishwa Israel kuzikwa

Protestatarii iranieni  la o demonstrație pentru a condamna uciderea liderului Hamas, Ismail Haniyeh, 31 iulie 2024, Teheran

Viongozi mbalimbali wamezungumzia vipi mauaji ya Ismail Haniyeh wa Hamas ?

 

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linakutana katika kikao chake kisichokuwa cha kawaida, New York.

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lajadili Mashariki ya Kati

Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei akizungumza wakati wa mkutano na maafisa wa jeshi la anga huko Tehran, Iran, Februari 5, 2024.

Kifo cha kiongozi wa Hamas: Kiongozi mkuu wa Iran aahidi ‘adhabu kali’ kwa Israeli

Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu Volker Türk, mjini Geneva.

Umoja wa Mataifa: Wafungwa wa Kipalestina nchini Israel waliteswa

Mwanamume akiwa ameshikilia bendera ya Israeli wakati wa mazishi ya Sajenti Kiril Brodski kwenye makaburi ya Kiryat Shaul, huko Tel Aviv, Israel, Alhamisi, Julai 25, 2024.

Hofu yatanda Israel baada ya kifo cha kiongozi wa Hamas mjini Tehran

Kiongozi wa Hamas Ismail Haniyeh wakati wa ziara yake mjini Tehran kuhudhuria kuapishwa kwa Rais mpya wa Iran Massoud Pezeshkian tarehe 30 Julai 2024.

Mfahamu Ismaïl Haniyeh, kiongozi wa kihistoria wa Hamas aliyeuawa katika shambulio Tehran

Aidha haifahamiki ni namna gani nchi ya Iran itajibu kilichofanywa na Israel, ambayo ni wazi sasa itakuwa Katia hali ya tahadhari zaidi.

Ismail Haniya kiongozi wa Hamas ameuuawa katika shambulio nchini Iran

 

Katika picha hii iliyochapishwa na tovuti rasmi ya Ofisi ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Rais Mteule Masoud Pezeshkian, kushoto, ameketi karibu na Kiongozi Mkuu Ayatollah Ali Khamenei wakati wa sherehe pamoja na picha ya Hayati Rais Ebrahim Raisi imewekwa katikati, huko Tehran, Iran, Ijumaa, Julai 12, 2024.

Rais wa Iran kuapishwa: Baada ya miezi miwili madarakani, Massoud Pezeshkian ashindwa kujizatiti

Safari za ndege za mashirika ya ndege ya Ujerumani - Lufthansa, Eurowings na Uswisi - kwenda mji mkuu wa Lebanon "zimefutwa hadi Agosti 5 kutokana na hali ya sasa ya Mashariki ya Kati," msemaji wa shirika moja la  ndege ameliambia shirika la habari la  AFPsiku ya Jumatatu.

Lufthansa na Air France zasitisha safari zao katika mji wa Beirut

Huko Majdal Shams, maelfu ya watu waliovalia mavazi meusi walikusanyika siku ya Jumapili, Julai 28, kwa mazishi ya vijana 12 waliouawa kwa shambulio la roketi siku ya Jumamosi.

Benjamin Netanyahu azuru eneo la Golan lililoshambuliwa shambulio kwa roketi na kuua watu 12

Roketi zilizorushwa kutoka mpaka wa Lebanon na Israel ziliua watu tisa katika uwanja wa soka huko Majdal Shams, kijiji cha Druze kwenye Milima ya Golan inayokaliwa na Israel, Julai 27, 2024.

Israel: Watu 11 waangamia baada ya roketi kupiga kwenye uwanja wa mpira Galan

INATOKEA SASA HIVI

MAKALA MAALUM

UCHUMI NA BIASHARA

Umuhimu wa ushirikiano kati ya sekta binafsi na uma

WIMBI LA SIASA

Makala haya yanatupia jicho uchaguzi wa urais nchini America, nini maana ya ushindi wa makamu Rais Kamala Harris shidi Rais wa zamani Donald Trump

AFRIKA YA MASHARIKI

Nishati inachangia asilimia kubwa kwa ukuaji wa Uchumi wa mataifa

CHANGU CHAKO, CHAKO CHANGU

Historia ya kabila la Wadigo wa Kenya na Tanzania katika Makala Changu Chako.

UCHUMI NA BIASHARA

Kuberoshwa kwa huduma ya intaneti Kenya na ilivyochochea ubunifu

SANAA YA AFRIKA

Ambwene Mwasongwe Muimbaji wa Nyimbo za Injili kutoka nchini Tanza

AFYA NA JAMII

Mpango wa afya kwa wote barani Afrika

All Rights Reserved © Cantona Group Ltd||2024


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment