Vile aonavyo Mungu nitofauti sana na mtazamo wa watu,mpaka unaufikia muujiza wako yapo mengi utapitia,ila tu usivunjike moyo uimala wako unakufanya uimalike zaidi na kukamilisha neno la imani kwako,wakati wote naomba kwaajili yako Bwana akufanye imara zaidi ili ufikie kusudi lake barikiwa
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.