Usitumie Nguvu vibaya.

Radio Fortune Africa -Bao La Asubui

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Na Cantona Joseph

Karibu Katika bao la asubui,haya ni makala yatakayokutoa tope kuweka wazi barabara ilinufikie ndoto zako

Jambo MUHIMU Kama Unataka KUFANIKIWA

Zaidi…

USITUMIE NGUVU Yako VIBAYA…

Kila UWEZO au MAMLAKA ambayo Mungu anakupa…

…ni kwa sababu AMEKUAMINI.

Anatarajia utaitumia kwa faida ya wengi…

Anatarajia HAUTAUMIZA wengi bali…

…UTAWAJENGA na KUWAINUA wengi.

Jitahidi sana KUMTHIBITISHIA MUNGU kuwa…

…HAJAKOSEA kukuamini.

Kama kupitia mamlaka…

Cheo…

Nafasi yako wengi WANATOA MACHOZI…

Basi ni ishara kuwa…

…hauko tayari KUPANDISHWA JUU ZAIDI.

Hii sio tu kwa wale wenye NAFASI KUBWA SANA.

La hasha!

Angalia unavyotumia mamlaka yako kwa mfanyakazi wa ndani…

Angalia unavyomtreat mhudumu wa chakula…

Jichunguze unavyoongea na mlinzi getini n.k

Mungu anachunguza…

Akiona mamlaka na nguvu kidogo aliyokupa…

…HAUWEZI kuitumia VIZURI…

Basi HATAKUWA TAYARI KUKUPANDISHA ZAIDI.

Salamu ziwafikie wanyeji wa Makutano,Kapenguria Nchini Kenya.

All Rights Reserved © Cantona Group Ltd||2024


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment