Mshukuru Mungu unapopitia changamoto Maishani.

Wale wanaokudharau Leo wanakusaidia kufikia malengo uliyo NATO.Wengi wamefanikiwa maishani sababu walidharauliwa hawawezi.Kipindi Fulani Yusufu aliteswa na kudharauliwa na Ndugu uzao mmoja aliposema atakua mtu mkuu.Aliuzwa taifa la Misri.

Alipendwa na Potifa,akapewa majukumu ya kusimamia Nyumba,akiwa mfanyikazi Wa Nyumba,Yusufu alipendwa na mke wa Potifa,lakini alikataa wake kushiriki kuziini,kwa hasira akasema uwongo kwa mumwe wake.Yusufu akafungwa gerezani.Ni mpango Wa Mungu maadui,watu wanaokunena mabaya kusema uwongo juu yako watokee katika maisha ili wakufikishe mbali.Ndoto yako itatikmia ukiendelea kuwa mwaminifu utafika mbali,Mungu alikumbuka uaminifu Wa Yusufu.

Mwanzo:39.21
Lakini Bwana akawa pamoja na Yusufu, akamfadhili, akampa kibali machoni pa mkuu wa gereza.

  1. Mkuu wa gereza akawatia mkononi mwa Yusufu watu wote waliofungwa, waliomo gerezani; na yote yaliyofanyika humo ndiye aliyeyafanya.
  2. Wala mkuu wa gereza hakuangalia neno lililoko mkononi mwa Yusufu; kwa kuwa Bwana alikuwa pamoja naye. Bwana akayafanikisha yote aliyoyafanya.
  3. Hebu niseme hivi,kuwa makini na Yale unayopitia palepale Baraka zako zipo.
  4. Annah alipo chekwa na kusutwa na Peninah kwamba hana mtoto alipiga magoti na kuomba wengi waliona amepagawa lakini alikua na hitaji LA mtoto.Hakuchoka kuomba Peninah alipomcheka hivi Leo tunashuhudia ukuu wake Samwel nabii aliyempaka mafuta Saudi mfalme Wa Israel.
  5. Mpendwa shukuru Mungu katika kipindi unachopitia.

Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment