Kuna vitu unafaa kuvifanya wakati unaanza kusifiwa,kwa kitu ambacho unakifanya,kuwa makini sifa zitakuja kuwa makini usilewe sifa hizo. Hivi ni vitu,unafaa kuzingatia wakati watu wanapoanza kukusifia,kabla ya kuchanganua Mada ya leo,Leo wacha niweke sawa maswala haya.
Norman Vincent Peale,aliwai kusema shida ya wengine wetu ni kwamba tunapenda kusifiwa na hili ndilo linatuharibu.Hatupendi kukosolewa.
Naye Thomas Fuller naye akasema ni vigumu kusifiwa,ni sawa na kulaumiwa katika maelezo yake Francois deal Rochefou could alinena ni kawaida tunasifu na kusifiwa.
Katika mada yetu ya leo,kuwa makini wakati sifa inapopiga hodi, unafaa kuvifahamu vidokezo hivi, watakapoanza kukusifia.
Katika sifa,Kuna muanguko tena,unafaa kuzingatia Nini wakati upi?ambapo unamiminiwa sifa.
- Fanya mara kumi,mambo ambayo yako zaidi ya mara moja,unapoanza kupokea sifa kutoka kwa watu,kwa Kila Jambo unalolifanya fahamu,unachokifanya kinapokelewa,Unaposifiwa fahamu fika ujumbe umefika.Siku zote watu watakusifia iwapo wamepokea ulichokua ukikifanya.Fahamu kuna wengine,hawatakupongeza kwa Nia nzuri, wengine ni hofu ya iwapo utafanikiwa usiwatenge nyakati zako za heri,maana utakua was msaada kwao nyakati za heri, ukawasaidia ndiposa anakusifia.Unapoanza kusifiwa, fanya Jambo hilo mara kumi zaidi.Ongeza juhudi.
- Hakikisha sifa zao,isiwe Kama pombe,katika maisha yako ukisifiwa zaidi unaweza ukalewa sifa ambazo unamiminiwa,juu ya vitu ambavyo unavifanya.Sifa wakati mwingine hugeuza mkondo wa anayesifiwa.Ukiwa mlevi wa sifa,hautafanya unachokifanya kwa ustadi,unapohitajika ufanye hivyo.Sifa hazitadumu Bali unachokifanya kitadumu.Usiogelee katika sifa,enenda na malengo uliyonayo katika jitihada ya kufanikiwa maishani. Ninakutakia heri na fanaka katika hatua unayopiga maishani.Ongeza bidii kwa lolote unalolifanya.

FortuneBaraka Photography

Allrights Reserved ©2019|FortuneBaraka Entertainments.
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.
You might argue that Anthony Davis was drafted into horrible conditions with the Pelicans, but not
worse than Lebron had in Cleveland. Even when Shaq was drafted into
Orlando Magic, he had Penny Hardaway. Lebron was in an not possible situation to win a title when he was
in the Cavaliers in 2010. MJ was drafted right into a much better scenario in Chicago.
He approach win the MVP. The best way the Chargers have played the last two
seasons, so much will probably be expected of them shifting ahead.
The linebacker corps has a number of potential with enough depth to compensate for if and when the starters go down.
The defensive line has the potential to be nice if they’re healthy.
Kevin Durant, he has performed with three league MVPs in his career, a former finals MVP, and defensive participant of the
12 months in Draymond Green. Lebron would have by no means played with an damage in the NBA
finals with all the precautionary measures he takes together with his body.
Inside linebacker Denzel Perryman is a fierce tackler however his physique gave out on him. http://dombt.com/bitrix/rk.php?goto=https://houston-injury.com
LikeLike