DRC ndio mfalme wa soka Afrika Mashariki.

Afrika Leo Mchana-Radio Fortune Africa.

Na Cantona Joseph;Juni 21,2024

  • Michezo Na Burudani
DRC yaongoza kwa ubora wa Soka Afrika Mashariki

DRC yaongoza kwa ubora wa Soka Afrika Mashariki

Kulingana na viwango vya ubora wa soka ulivyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), DRC inashika nafasi ya 61 ulimwenguni na nafasi ya kwanza kwenye ukanda wa Afrika Mashariki.Baadhi ya wachezaji wa timu ya taifa ya DRC./Picha: Fecofa X

Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ndio timu bora zaidi kwa upande wa Afrika Mashariki.

Kwa mujibu wa viwango vya ubora wa soka wa mataifa mbalimbali uliotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Juni 20, 2024, DRC inashika nafasi ya 61, ikiwa imepanda juu kwa nafasi mbili, na hivyo kuongoza ukanda wa Afrika Mashariki.

Chui hao kutoka DRC walishika nafasi ya nne katika makala ya 34 ya michuano ya AFCON 2023 yaliyofanyika nchini Ivory Coast ikiwa imedondoka kwa nafasi mbili ulimwenguni, Uganda iko katika nafasi ya 94 na ni ya pili kwa ubora wa Soka katika ukanda wa Afrika Mashariki, ikifuatiwa na Kenya, ambayo imeporomoka kwa nafasi moja chini na kuwa ya 108 duniani.

Nafasi ya nne kwa ubora wa soka katika ukanda wa Afrika Mashariki inakwenda kwa Tanzania, ambaye imepanda kwa nafasi tano hadi ya 114 duniani. Hivi karibuni, Taifa Stars iliifunga Zambia goli 1-0 katika michuano ya kufuzu Kombe la Dunia kwa mwaka 2026.

Kama ilivyo kwa DRC, ‘Taifa Stars’ nayo ilishiriki michuano ya AFCON 2023. Hata hivyo, Tanzania ilikuwa ya mwisho kwenye msimamo wa kundi F, baada ya kuambulia alama mbili kwenye mashindano hayo makubwa na yenye hadhi barani Afrika.

Rwanda ni ya tano kwa ubora ikiwa na alama 132, ikifuatiwa na Burundi ambayo ipo katika nafasi ya 140 duniani, wakati Sudan ya Kusini na Somalia zikiambulia nafasi ya 167 na 202 mtawalia.

Pata habari zaidi kupitia whatsapp channels

Radio Fortune Afrika

Habari zinazohusiana

Vijana na mchezo wakuteleza ili kusahau machungu ya vita DRC

Vijana na mchezo wakuteleza ili kusahau machungu ya vita DRC

Haya yanajiri wakati jeshi la Kongo na vikosi kadhaa vikiendelea kuwasaka waasi katika eneo la mashariki mwa Kongo na kuacha watoto wakiwa na kiwewe.

FIFA imepokea zabuni nne za Kombe la Dunia la Wanawake la 2027

FIFA imepokea zabuni nne za Kombe la Dunia la Wanawake la 2027

FIFA ilisema itatuma Mkataba wa Zabuni kwa nchi zote zenye nia, ili kuthibitisha kuhusika kwao ifikapo Mei 19

Adama Bojang ‘The Hurricane’ anyakua nafasi adhimu katika historia ya FIFA

Adama Bojang ‘The Hurricane’ anyakua nafasi adhimu katika historia ya FIFA

Mshambuliaji huyo wa miaka 19, tayari ameibuka kuwa mchezaji nyota katika soka barani Afrika.

Fatma Samoura wa Senegal kujiuzulu kama katibu mkuu wa Fifa

Fatma Samoura wa Senegal kujiuzulu kama katibu mkuu wa Fifa

Fatma Samoura ndiye mwanamke wa kwanza kupanda hadi cheo hicho katika shirikisho la soka Duniani

Makala yanayovuma katika kategoria hii

Uturuki kumenyana na Georgia katika mechi yao ya ufunguzi, Euro 2024

Uturuki kumenyana na Georgia katika mechi yao ya ufunguzi, Euro 2024

Wakishiriki Kundi F, Crescent-Stars wanalenga kuanza mchuano huo kwa ushindi na kujihakikishia pointi tatu dhidi ya Georgia.

Kenya: Wadada U 17 wafuzu kombe la dunia mara ya kwanza

Kenya: Wadada U 17 wafuzu kombe la dunia mara ya kwanza

Pongezi zimeendelea kumiminiwa timu hiyo ya taifa ya Junior Starlets waliofuzu Jumapili kwa kuicharaza Burundi 2-0 (5-0 jumla)

Uingereza yaichapa Serbia, michuano ya EURO 2024

Uingereza yaichapa Serbia, michuano ya EURO 2024

Bao la kichwa la Jude Bellingham lilitosha kuwapa vijana wa Gareth Southgate uongozi wa Kundi C.

Warusi 14 kushiriki Paris Olimpiki kama 'watu wasiokuwa na nchi'

Warusi 14 kushiriki Paris Olimpiki kama ‘watu wasiokuwa na nchi’

Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa iliidhinisha hali ya kushiriki bil autaifa kwa wanariadha 14 wa Urusi na 11 wa Belarusi wanaoshindana katika baiskeli, mazoezi ya viungo na michezo mingine mbali mbali.

Nini kingine ungependa kujua?

Vile vile

Vijana na mchezo wakuteleza ili kusahau machungu ya vita DRC

Vijana na mchezo wakuteleza ili kusahau machungu ya vita DRC

FIFA imepokea zabuni nne za Kombe la Dunia la Wanawake la 2027

FIFA imepokea zabuni nne za Kombe la Dunia la Wanawake la 2027

Adama Bojang ‘The Hurricane’ anyakua nafasi adhimu katika historia ya FIFA

Adama Bojang ‘The Hurricane’ anyakua nafasi adhimu katika historia ya FIFA

Fatma Samoura wa Senegal kujiuzulu kama katibu mkuu wa Fifa

Fatma Samoura wa Senegal kujiuzulu kama katibu mkuu wa Fifa

Ligi Kuu Uturuki: Chaguo jipya la wanasoka wa Kiafrika

Ligi Kuu Uturuki: Chaguo jipya la wanasoka wa Kiafrika

Habari Maarufu.

Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza

DRC: Jeshi la Kongo lataka ushirikiano wa raia ili kuwadhibiti wanamgambo

Ukame wapelekea changamoto ya kiafya nchini Somalia

Kenya yatangaza ubinafsishaji wa makampuni yake ya serikali

Raia wa Nigeria waanza mfungo wa Ramadhani.

Majukumu ya Kisheria

Habari Pichani.

Tovuti hii hutumia vidakuzi. Kwa kuendelea kuangalia tovuti hii, unakubaliana na utumizi wa vidakuzi.

Sera ya Vidakuzi

All Rights Reserved © Cantona Group Ltd|2024

Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment