Ukiambiwa na mtu usiseme, sio kwa faida yako ni kwa faida ya anayekukataza.
Usiri unaouficha yawezekana ndio unaokuharibia maisha yako.
Hata maandiko yanasema afichaye dhambi zake hatafanikiwa Mithali 28:13
Pima kabla hujakubali kila kitu.
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.