Matatizo ni sehemu ya maisha,utakubaliana nami,mwanadamu yeyote yule lazima akumbane na matatizo katika safari yake ya maisha.Hakuna mwanadamu aliyefaulu katika nyancha yeyote ile pasipo changamoto.
Unapopitia hali ngumu maishani usikate tamaa,lakini fahamu matatizo hayo ni sehemu ya maisha.Barabara ya mafanikio ipo na changamoto na vikwazo vingi.Lazima utapitia milima na mabonde. Unapopitia matatizo,unajifunza unakua jasiri na kuelewa maana halisi,kua uyaone sio magorofa.Ukiwa mtoto wazazi wanakuhudumia Kila kitu.Unapokua mtu mzima,unajihudumia Kila kitu,pasipo kuhudumiwa na wazazi. Upo na familia inakutegemea,unaanza kukumbana na changamoto mbalimbali maishani.
Usikate tamaa kua uyaone,sio magorofa.Ujasiri utakusaidia kufika mbali.
- Usilalamike: Usijilaumu wakati wote chukua changamoto yako kuwa ni barabara ya mafanikio na mtazamo huu hautakufanya ulalamike.Matatizo ni sehemu ya mafanikio.Ni bora kutafuta suluhisho kwa njia ya busara.Matatizo uliyonayo!njaa,kukosa kazi,magonjwa nakadhalika yasikunyime raha.Shinda ni sehemu ya maisha.Usikate tamaa,ukiwa umefukuzwa kazi tafuta suluhisho jinsi utakimu familia yako, usilalamike,barabara ngumu inamwisho mwema.
- Usiwe na wasiwasi,Ondoa wasiwasi,usijiulize maswali,usiwe na wasiwasi omba Mungu tafuta suluhisho Ondoa wasiwasi Trush the worries.
- Usiwe muoga/Ondoa uwoga. Usiwe mtu muoga,kuhusiana na matatizo unayopitia.Wengi wanauwoga hawatafanikiwa,unapoogoma utafeli,watu watasema nini ndio mwanzo wa matatizo yako.Jaribu kushinda uwoga,watazame watu waliofanikiwa,Soma vitabu kuhusiana watu waliofanikiwa.Tafuta mentor ambaye atakushauri upate nasaha nzuri. Uwoga ni dhibitisho la uwongo but kweli.Unapoanza kuwaza Mambo ambayo si kweli,unashindwa kujituma.Wakati wote maneno yanaumba,tunza akili yako.Waza kila wakati kwenye vitu ambavyo ni chanya.Frame your mind in positive things.Unapofikiria ukiwa pekee yako,utagudua,unakipaji Cha kipekee,unauwezo wa kufanya mambo fulani.Ondoa maswala ya uwoga.
- Jenga imani yako: Utakapo Jenga imani yako,utajikumbusha ushindi utaupata.Tatizo ulilonalo halitakuzima ukiwa na imani.Mtangulize Mungu mbele practice faith, faith can move mountains,you have to believe,amini utafaulu hata ukiwa kwenye matatizo.Jenga imani yako,usiwe na wasiwasi tatua matatizo uliyo nayo.Imani ni mfano wa umeme,huwezi kuona umeme lakini utaona mwangaza.
- Tabasamu katikati ya matatizo:Upo kwenye matatizo endelea kutabasamu,usinune,usilie, usilalamike,mshukuru Mungu katika kila hali.Mungu akakuongoza ufikie malengo yako.Jifunze kutokana na watu waliofanikiwa.Matatizo yatakujenga iwapo hautakataa tamaa.Barabara mbovu na ngumu ina mwisho mwema. #Iposiku #GetInspired #TwapigaHatuaPamoja. #CantonaJoseph’sMotivates. #CantonaJoseph’sWorld. #CantonaJosephIntMinistry.

FortuneBaraka Photography.

FortuneBaraka Photography
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.