WANAUME KUNA VITU LAZIMA TUVIELEWE KWA WANAWAKE.

Bibilia inasema MWANAMKE NI KIUMBE DHAIFU hapo hapo inasema TUKAE NAO KWA AKILI.
Na bado inasema MWANAMKE NI JESHI KUBWA swali?
Walijifunza saa ngapi uwanajeshi na ili kudhibitisha kwamba ni mwanajeshi Mungu anamtuma kwa mwanamme amlinde.

Yeremia 31:22 …. Kwa maana Bwana ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume.

KUMBUKA HILI MWANAUME MWENZANGU.

●Mtu wa kwanza kukutana na SHETANI live ni mwanamke pamoja na kwamba walizungumza mengi na kula tunda kiukweli hatujui mengine waliozungumza mbali na kula tunda.

●MWANAMKE aliumbwa ukiwa usingizini wewe MWANAUME hujui ni kitugani walichozungumza na Mungu kabla ya wewe kuzinduka.

●MWANAMKE ndiye aliyemwelewa Mungu alipoambiwa ana mimba ya Roho Mtakatifu wewe MWANAUME ulitaka kumkimbia badala ya kukabiliana na changamoto hiyo.

●MWANAMKE ndiye mtu wa kwanza kwenda kuhakikisha kama kweli Yesu amefufuka na kusambaza habari.

●MWANAMKE ndiye anayeongoza kwa ushawishi mkubwa mwanaume huna ujanja mfano.
■Eva kwa Adamu
■Delila kwa Samson
■Ester kwa Ahasuero
■Raheli kwa Labani n.k

*Usimuudhi mke wako ana siri kubwa sana usione kakaa na wewe anakuvumilia pamoja na ukatili wako.

Anaweza akatekeleza walichozungumza na Mungu au anaweza kutekeleza alichozungumza na shetani. Ni MWANAMKE huyo mke wako,ambaye Mungu alimtumia ukabebwa miezi tisa.Ni jukumu lako kumpenda mkeo.Usimgeuzi ukampige ngumi.Ni kiongozi Mfano nabii Deborah alipotoa alipotoa maelekezo kwa Balack jinsi yakukwamua wanaisrael naye Balack alisema itakua Bora waende naye hakukata lakini ilijulikana ni MWANAMKE aliyeongoza kikosi ni nabii Deborah wala si Balack.Mke wako ni kiongozi mpe majukumu usimdharau anaueezo ukimtia moyo.

#Iposiku. #GetInspired. #TwapigaHatuaPamoja. #CantonaJoseph’sMotivates. #CantonaJoseph’World. #CantonaJosephIntMinistry.

Links:

YouTube :Official Cantona Joseph. YouTube: CantonaJoseph Int Online Media.

Contacts:

Facebook:Cantona Joseph. Instagram:canton.joseph. Tweeter@cantonajoseph

Email:cantona.online254@gmail.com

©2019 Fortune Baraka Entertainments. | All rights reserved


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment