Usikate tamaa, endelea Kupambana.


[MPYA] Maalumu Kwa Wote Wanaosikia Kukata Tamaa…

Kila mtu unayemuona amepiga hatua kwenye maisha yake…

…kuna siku aliwahi kutaka kukata tamaa.

Kuna watu leo ukiwaona unaweza kudhani kuwa kila siku wao wanashinda tu…

…ukiwakaribia ndio utajua kuwa kuna wakati walitamani waishie njiani na wasiendelee mbele.

Chochote unachokipitia leo, Hata Kama kinakupa maumivu namna gani…

…usikubali kuhitimisha kuwa umefika mwisho na hakuna tumaini tena.

Kuna wengi wanatarajia utashindwa ila Mungu amejiandaa kukusaidia kushinda.

Kuna wengi ambao wanatarajia kuwa ndio utakuwa mwisho wako…

…ila Mungu anajiandaa kukufungulia ukurasa mpya, usikate tamaa.

Kuna Watu wanapitia magumu Kama ya kwako leo…

…na watashinda, nawe jiunge nao kuwa mshindi.

Kama umejifunza kitu kupitia ujumbe huu comment maneno “Nitashinda”

All Rights Reserved|© Cantona Group Ltd


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment