Jifunze kuheshimu hali,unayopitia maishani,fursa yako ya mafanikio ipo katika changamoto.

Uchungu mwingi maishani au furaha ni jawabu la mtu.Changamoto au misukosuko unayopitia kwa upande mwingine ni fursa.Mama yangu mzazi Bi Elizabeth Endesha alinishauri hili nikiwa mdogo wa umri,Mtu mwenye changamoto ndiye anayekua ni mwenye busara,anapiga hatua na yupo kwenye njia ya kufanikisha Jambo.Ukiona maisha yako hayana changamoto,chukua hatua tafakari,maana hausongi upo palepale.Uchungu au hasira ya kufikia mahali fulani maishani ipo ndani mwa changamoto unayopitia.Zingatia changamoto unayopitia hapo ndipo jawabu la moyo wako lipo.Changamoto ni daraja la mafanikio.Jifunze kuheshimu kila hali, unayopitia maishani itakusaidia sana.

#Iposiku #Getinspired #CantonaJosephMotivates

#CantonaJosephWorld

#TwapigaHatuaPamoja.

All rights reserved ©2019


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment