Kabiliana na VITISHO vyao
Vitisho ni Silaha ya mtu anayetaka KUKUDHIBITI.
Ndio, ni silaha ya mtu anayetaka KUKUNYAMAZISHA na KUKUTAWALA.
Vitisho vimeua NDOTO za watu wengi.
Vitisho vimewafanya watu ambao walitakiwa kuwa WAKUU…
…wamebakia HAWAJULIKANI kabisa.
Saikolojia ya KITISHO inasema…
“Mtu asiyekuogopa ANAKUPUUZA, mtu anayekuogopa ANAKUTISHA”.
Ukiona mtu anakutisha, ina maana kuna kitu unacho ANAKIOGOPA.
Ina maana kuna namna AMEINGIWA na HOFU yako.
Unachotakiwa kujua ni kuwa wengi wanaofikia hatua ta kukutishia…
…wanakuwa wameshajaribu mambo MENGI kinyume nawe kimyakimya WAMESHINDWA.
Usikubali VITISHO vyao VIUE NDOTO YAKO.
Usikubali matishio Yao YAKUKATISHE TAMAA.
Usikubali vitisho vya vikufanye USUSIE MAONO YAKO.
Songa mbele!
Kama umejifunza kitu comment maneno “SITAKUBALI VITISHO VYAO VIUE NDOTO YANGU”.
©️ Cantona Group Ltd
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.