Rais wa Ufaransa akutana na Mwenzake wa China.

Rais wa Ufaransa #EmmanuelMacron amemtaka mwenzake wa China #XiJinping anayezuru Paris kushirikiana kwa ukaribu na bara Uropa haswa wakati huu ambapo Urusi imeivamia #ukraine pamoja na kukubali usawa katika sheria za kibiashara za dunia.

Hii ni ziara ya kwanza ya rais Xi katika bara hilo tangu mwaka wa 2019 na anatarajiwa pia kufanya mazungumzo na uongozi wa nchi za #serbia na #hungary .

Xi amesisitiza kuwa anataka amani ipatikane nchini Ukraine.

TheHeartBeatofAfrica


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment