Unapopoteza hamasa!!!

UJUMBE MAALUM: Kwa Wote Waliopoteza Hamasa Maishani…

Ile Hamasa Yako Imeenda Wapi?

Mbona Kama kuna kitu UMEKIPOTEZA?

Kuna hamasa ulikuwa nayo Juu ya maono yako…

Biashara au…

Kufukuzia lile wazo…

Ila kwa sasa muda mrefu umepita ni Kama UMEJISAHAU…

Hauweki tena NGUVU…

Nini KIMETOKEA?

Darren Hardy kwenye kitabu chake cha “Compounding Effect”…

Anaelezea umuhimu wa kujenga MOMENTUM katika unachokifanya…

Yeye anaiita “BIG MO”.

Yaani, mafanikio sio matokeo ya Kufanya jambo moja kwa UKUBWA Kisha ukaacha…

Bali ni kufanya jambo MOJA kwa muda MREFU bila kuacha.

Hii ndio maana, James Watkins aliwahi kusema…

“A river cuts through rock, not because of its power, but because of its persistence”

(Mtu unaweza kukata mwamba sio kwa sababu ya nguvu Yake…

…bali kwa sababu ya kupitisha maji sehemu moja kwa muda mrefu).

Leo, rudi kwenye tafakari tena (Drawing Board).

Kila unachokifanya na kuacha njiani, inakuwa unapoteza muda.

Amua kukomalia bila kujali nani anakupinga…

Anakusema vibaya au amekuchosha.

Leo unaanza kutengeneza “BIG MO” kwenye jambo gani?

Kama Umejifunza Kitu Comment Neno “NITAKOMAA MPAKA KIELEWEKE”


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment