Baraka au Tishio.

Ulichonacho: Kwa Wengine ni Baraka, Kwa Wengine ni Tishio

Sio kila kizuri ulichonacho kitakuwa na mtazamo sawa kwa kila mtu.

Kuna wengine Kipaji, Nafasi, Ushawishi n.k ulionao ni Baraka kubwa kwao.

Wanatamani kuona unazidi kupaa Juu na kung’ara zaidi.

Ila kuna upande mwingine, kile ulichonacho ni TISHIO.

Yaani, wakiangalia wanaona unatishia Nafasi zao, biashara zao, majina Yao n.k

Hawa wa pili, wataibua VITA Ila wakukwamishe USIENDE JUU ZAIDI.

Hii ndio maana USISHANGAE kinachowabariki wengine kinachukiwa na wengine.

Unatakiwa kuwa na HEKIMA ya kujua…

…kila anayekushangilia YUKO UPANDE GANI ili usimpe NAFASI asiyostahili.

Mungu AKUFUNGUE MACHO!

Kama umejifunza kitu comment maneno “NDIO, NIMEJIFUNZA KITU”


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment