Maneno yana nguvu.

Maneno yatokayo kwenye kinywa chako yana mchango mkubwa wa kubadili maisha yako,kinywa kinaweza kuumba na kinywa kinaweza kuua,Mungu alifanya uumbaji mkubwa kwa kutumia Maneno alisema na iwe usiku likatokea giza na iwe mchana ikatokea Nuru.Sitachoka kutamka maneno ya baraka na tumaini kwako usiku na mchana kwani kupitia maneno yangu ambayo Mungu ameyaweka mdomoni mwangu watu wengi wamefunguliwa na kupokea mahitaji yao nimeona kwa macho yangu kila nikitamka anayepokea kwa imani anabarikiwa na kuponywa,kamwe usikiri udhaifu kwa kinywa chako kamwe usitamke kushindwa kumbuka unalo litamka litatokea kwakua wewe una asili ya uungu kwaiyo kila unalosema linajiumba kama vile baba yako Mungu ambavyo akisema.
Iposiku #Getinspired #CantonaJosephMotivates All rights reserved©2019


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment