Wananitaka Mimi, Acha Niende Waniue
Kwa mujibu wa mtu pekee ambaye alinusurika kwenye mauaji ya tarehe 15/10/1987…
…ndugu Halouna Traore, anasema kwamba aliyekuwa Rais wa Burkina Faso…
Captain Thomas Sankara alijua anatafutwa yeye kuuwawa.
Wakiwa kwenye kikao cha kupanga mikakati ya kuiletea mabadiliko Nchi yao…
…watu wenye silaha walijitokeza na kuwarushia RISASI.
Traore anasema yeye alipona kwa sababu…
…alianguka katikati ya miili ya wengine iliyokuwa inavuja DAMU.
“Sankara alitoka nje akiwa amenyosha MIKONO JUU…
…hata hivyo hakuhurumiwa, alipigwa risasi na AKAFA”.
Kuna wakati maisha yana UKATILI mkubwa sana.
Kuna watu wanaweza kutafuta KUKUHARIBIA…
KUKATISHA maisha yako…
UFUKUZWE KAZI n.k..
Sio kwa sababu UMEWADHURU, la hasha…
…ila kwa sababu WANACHUKIA UNAVYONG’ARA.
Kuna wengine hawataona KUJITOA kwako…
…na hata ukisema “SITAKI KUGOMBANA NA NYIE…
…NAJISALIMISHA”, bado WATAKUMALIZA.
Kila siku USIACHE KUMUOMBA MUNGU akulinde na…
…SHAMBULIZI la GHAFLA la wale WANAOKUVIZIA ili WAKUMALIZE.
Kama umejifunza kitu comment neno “NIMEJIFUNZA KITU”
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.