MUHIMU: Kwa Wote Waliokata Tamaa Kabisa Maishani…
JIPE “SECOND CHANCE”…
Ndio, jipe nafasi nyingine.
Kuna wakati unaweza kupitia jambo na UKAONA Kama imefika mwisho…
Na HAUNA NAFASI nyingine ya KUFANIKIWA.
Ukifikia katika HATUA hii, unaweza kujifungia MLANGO wa mafanikio.
Mbaya zaidi, unaweza kuwa unapitia hali hii na wakati huohuo…
…watu wako wa KARIBU wanakuonyesha kuwa HAUWEZI KUINUKA TENA.
Usisahau kuwa kuna wakati wengine HAWATAKUPA “second chance”.
Ila wewe mwenyewe USINYIME NAFASI ya PILI.
Hata kama inaonekana kuna GIZA…
…bado unaweza kuinuka UPYA na KUANZA TENA.
Dunia imejaa watu ambao WALISHAWAHI kuanguka na ikaonekana HAWAWEZI kuinuka tena…
…ila leo WAMEINUKA TENA.
Nawe unaweza kuinuka tena, unayo nafasi NYINGINE.
Kama umejifunza kitu kupitia ujumbe huu.
Na HAKIKA umeamua unajipa SECOND CHANCE kwenye jambo fulani ulilolikatia tamaa comment namba “1”.
TheHeartBeatofAfrica
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.