Jifunze KUHAKIKISHA kikombe chako HAKIISHIWI maji ili uendelee kuwagaia wengine.
https://youtu.be/69iBkNmDzus?si=foLgI7jxSH-tUc64
Kwenye ulimwengu wa sasa, kutakuwa na presha nyingi sana za kukutana UFANYE KWA AJILI YA WENGINE.
Usipokuwa MAKINI, unaweza kujikuta UNALAZIMIKA kufanya zaidi ya ULICHONACHO. Yaani, unaishiwa KILA KITU kwa kutaka kusaidia KILA MTU.
Usisahau jambo hili, UNAWEZA TU KUMIMINA MAJI kwenye kikombe cha mwingine kama YAPO kwenye KIKOMBE CHAKO.
Usijisahau AFYA YAKO, usisahau KUPUMZIKA, usisahau KUJIWEKEA AKIBA, usisahau kusema UMECHOKA.
Hakikisha kikombe chako kina kitu ili uendelee kuwamiminia wengine.
Hatari kubwa ni kuwa, siku kikombe chako KITAKAPOISHA KABISA, utashangaa wengi ULIOWAMIMINIA hawatakuwa TAYARI kukupatia hata kidogo.
USIJISAHAU!
Muda wowote ukiwa tayari nikusaidie kutimiza malengo yako hizi ndio namna 4 ninazoweza kukusaidia.
#TheHeartBeatofAfrica
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.