Je una maono makubwa!!!

MUHIMU: Kwa Wote Wenye MAONO Flani.

Kila MAONO lazima yalindwe Ili yasikuponyoke.

Njia nzuri ya kulinda maono Uliyonayo ni…

…KUYAISHI bila UOGA wala HOFU ya kushindwa.

Kuna mambo ukiendelea kuchelewa kuyafanya…

…ule MOTO wa kufanya UNAPOTEA.

Kadiri unavyochelewa kuanza kuishi MAONO uliyonayo…

…ndivyo ambavyo utapata UGUMU ZAIDI KUANZA.

Unataka kufanya nini kwenye maisha yako?

ANZA LEO usisubiri kesho.

Kama umejifunza kitu comment neno “NIMEJIFUNZA”

TheHeartBeatofAfrica


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment