The battle of identity

Kuna ile vita inaitwa “The Battle Of Identity”…

____Yaani hii ni vita Kati ya VILE UNAVYOTAKA kuwa…

…na vile WATU au MFUMO wa maisha unavyotaka UWE.

Hii sio vita RAHISI Ila ni vita MUHIMU sana KUISHINDA.

Watu wengi wamepotea Kwenye kuishi maisha WALIYOCHAGULIWA na WATU…

…au MFUMO Ila hawakuyachagua.

Matokeo yake, wanafanya VITU Ila HAWAVIFURAHII KABISA.

Yaani, ni kama MTU amekubali kuwa MAISHA yake yote…

…ATAISHI kwa kutofurahia maisha HADI AFE.

Hii ndio maana Mwandishi nauli, James Mason aliwahi kusema…

“Many People Are Born Origin But Die As Copies”…

Yaani “Watu Wengi Wanazaliwa wakiwa orijino Ila wanakufa wakiwa KOPI”.

Usiwe MMOJA WAO.

Kuna AINA YA MAISHA unayoyapenda ambayo hauwezi kuyapata Kama HAUTAYAPIGANIA.

USISAHAU Umri wako UNAENDA.

Kuna vitu UKISHINDWA kuvipigania sasa hivi…

…itabidi UVIKUBALI kuishi navyo MILELE.

Kama umejifunza kitu comment neno “NIMEJIFUNZA”

#TheHeartBeatofAfrica

Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment