Ifahamu dunia inayokunzunguka,yafahamu maono yako.Ukianza kuvuuka mstaari kuelekea ndoto yako utapata watakaochora mstaari wako.
Tembelea Mjini YouTube na subscribe.
…ukianza kuuvuka tu basi UJUE utakuwa UMETENGENEZA tatizo.
Yaani, kuna watu hawana shida na wewe kuwa na hela kiasi fulani.
Au kufanikiwa kwenye biashara kwa kiwango fulani.
Na mara nyingi ili mradi uko CHINI YAO.
Ukianza tu KUWAKARIBIA au KUWAZIDI watakugeuza kuwa ADUI.
Wapo ambao, watakusapoti na kukuita “Best”…
…ili mradi kielimu au kicheo wamekuzidi.
Siku ambayo utaaanza kupanda tu, shida itaanzia hapo.
Jifunze KUHESHIMU watu, Ila Usisahau kuwa tayari kwa VITA itakayoinuka sio kwa sababu UMEWATENDEA UBAYA…
…Ila kwa sababu UMEVUKA MSTARI ambao HAWAKUTANA na HAWAKUTARAJIA Kama UNGEVUKA.
Nakuombea wakati huu UKIFIKA, uwe na nguvu za kuendelea MBELE…
…katikati ya MISHALE utakayorushiwa na MAUMIVU utakayoyasikia.
Kama umejifunza kitu comment maneno “Nimejifunza Kitu”.
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.