Mtu Hatari Kwenye maisha yako ni YULE ambaye…
…ANAUA uwezo wako wa KUJIAMINI na KUJITHAMINI.
Kuna watu wengi sana, wameshindwa kutimiza ndoto zao…
…kwa sababu ya watu ambao WALIWAPA NAFASI YA KARIBU…
…Ila wakageuka kuwa chanzo cha KUFELI kwao.
Usisahau, hauwezi kufanya MAMBO MAKUBWA zaidi ya…
…UNAVYOJIONA ndani YAKO.
Kundi la kwanza linaloua UWEZO wa mtu ni WAZAZI.
Yaani, kuna watu ni watu wa Ila HAWAJIAMINI kabisa kwa sababu…
…wakiwa wadogo walishawahi kuambiwa na WAZAZI wao kuwa wao si KITU.
Kuna wale pia ambao MABOSI wao wameua kabisa uwezo wao wa Kujiamini.
Yaani, bosi kila siku ANAMKOSOA na…
..kumuonesha kuwa HAWEZI na HAFAI.
Yaani, anamuonesha kama anampendelea kuwa Hapo OFISINI…
…na wakati wowote anaweza KUMFUKUZA.
Tatu ni MWENZI/MPENZI.
Yaani, ukiwa na yule ambaye kila unachotaka kufanya anakuambia HAIWEZEKANI…
Au HAUTAWEZA, basi ujue UNA VITA kubwa sana ya KUPAMBANA.
Ili ufanye mambo makubwa ni lazima UAMUE kuwa kwenye eneo la MAONO yako…
…SAUTI za watu Hawa zitakuwa ni MAONI Yao tu na SIO UHALISIA WAKO.
Kama umejifunza kitu comment neno “Nimejifunza Kitu”
Tembelea Mjini YouTube
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.