AFRIKA LEO MCHANA

Ufaransa imekuwa nchi ya kwanza duniani kufanya uaviaji mimba kuwa haki ya kikatiba, hata hivyo makundi ya kupinga vitendo hivyo yakiongozwa na kanisa katoliki yamekosoa vikali hatua hiyo.

Una maoni yapi kuhusu maendeleo haya nchini Ufaransa?

Sheria inasema nini kuhusu suala hili nchini mwako?

TheHeartBeatofAfrica


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment