Maalum kwa watu wanaotaka kuwa wakuu.

  1. Mfumo Wa Nguvu Za KIROHO (Siri za kujenga ukaribu na Mungu na Nguvu yake kwako)
  2. Mfumo Wa Kuimarisha AFYA Binafsi. (Waliopuuzia walijikuta wanashindwa kuendelea kutimiza ndoto zao kubwa kwa kuwa AFYA HAIKUWARUHUSU)
  3. Mfumo Wa KUJIENDELEZA Kimaarifa. (Siri ya kufanya Mental age yako itangulie Biological age yako)
  4. Mfumo Wa UWAJIBIKAJI (Mbinu ya kukusaidia kuongeza UFANISI Mara 10 zaidi)
  5. Mfumo Wa Usimamizi Wa PESA (Bila kujali CHEO, KIPAJI au maarifa uliyonayo usipolizingatia eneo hili hautafanikiwa kifedha)
  6. Mfumo Wa UENDESHAJI TAASISI (Umeshawahi kujiuliza, siku ukienda LIKIZO YA MWAKA MMOJA, hicho unachokifanya leo kitaendelea kufanyika?)
  7. Mfumo Wa KUTUNZA FAMILIA (USIWASAHAU wala USIWACHUKULIE POA siku ukipata tatizo kubwa lolote lile aidha la kiafya, aibu, kushuka chini n.k watu ambao watakuwa na wewe kila wakati ni familia yako)
  8. Mfumo Wa MAHUSIANO NA JAMII (Mbinu itakayokusaidia kutopata changamoto ya UPWEKE baada ya KUFANIKIWA)
  9. Mfumo Wa KUKUZA NA KUENDELEZA WATU (Ukiona unaweza kufanya kila kitu wewe mwenyewe basi ujue maono yako ni MADOGO SANA.) –
  10. Mfumo Wa KUSAMBAZA HABARI YA UNAYOYAFANYA (Mambo 8 ya msingi ya kuzingatia ili kufanikiwa kwenye vyombo vya habari/mitandaoni.


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment